Let God give you strength when you need it. Let Him give you peace and restoration with his love for you.
This is just another example that proves that the world is not our permernent home. In this imperfect world we live in, we must trust God who is always perfect.
Kiukweli taarifa hii nimeipokea kwa masikitiko mkaubwa sana,
Kifo chochote kinauma lakini cha mtu unayemfahamu kinauma zaidi. Hivyo marehemu ameacha majonzi mengi kwa familia yake na wanaJF kwa ujumla.
Safari hii ya kifo ina maswali mengi ya kiimani hivyo kuleta majibu mengi ya kinadharia, lakini kwa mimi nanukuu " Kheri wafao sasa katika Yesu Kristo"
Mwisho ni angalizo kwa sisi tuliobaki duniani kuelewa kuwa kifo tunatembea nacho hivyo ni bora tukajiandalia makazi mema kwa kufanya yaliyo mema. Mwisho mtume Muhammad katika hadithi fulani anasema " Kifo chatosha kabisa kuwa mawaidha kwa mwanadamu"
Chituntu hatunaye tena, Eeeeeh Mungu Muumba mbingu na ardhi mpokee mwanaJF mwenzetu aliyetangulia mbele ya haki. Kwa hakika kila nafsi itaonja mauti, nasi tunakuja. Amen.
Mkuu;
....ni mpango wa shetani,
....hivi ukomo wa maisha ya bnadam ni miaka mingapi? kumbuka hapo mwanzo watu waliishi hadi miaka 900 na usheee,
Anyway ni fumbo la imani kwa njia moja au nyingine!!
<br />
<br />
<span style="font-family: garamond"><font size="4">Ng'ang'ana sana kwenye maombi na BWANA atakuokoa kwani KIFO si mpango wake ni mpango wa yule mwovu, Shetani.</font></span>
Mkuu;
....ni mpango wa shetani,
....hivi ukomo wa maisha ya bnadam ni miaka mingapi? kumbuka hapo mwanzo watu waliishi hadi miaka 900 na usheee,
Anyway ni fumbo la imani kwa njia moja au nyingine!!
Asprin kwanza nitumie nafasi hii kukushukuru kwa niaba ya member wengine wa JF kwa kutuhabarisha na kutupa walau wasifu wake hapa JF. Maelezo yako yametufanye wengi tuhisi kama mtu tuliyewahi kuonana naye (kwa michango yake) ingawaje si ana kwa ana.