GONE TOO SOON...R.I.P Pd Proxy

Status
Not open for further replies.
HATER kazi kwako sasa nishapata PORT mpya PD itaendelea kwa UDP server ports kawaida
Nimecontact admin wa TG na meteorVPN afungue hiyo port mpya katika server zake
aaaah sasa hili ndio nilolisema litatokea sasa baada ya kuwapa hizo port mpya nilowapa Saleh na wenzake ndio balaa hili, msitake kushindana nao hawa ISP mie nimekupeni port mpya ili msipoteze clients wenu wa TZ ila sasa mnaweka mambo wazi kama hivi naona sasa janga litakalotokezea nitawaachia wenyewe mtafute njia nyengine, yaani dah mumeniboa kweli. Hawa jamaa hawawezi kulipa watu wazibe matundu hela nyingi halafu wakaondoka matobo bado yako wazi, itapatikana njia ila itatake long time mpaka mupate njia mpya.
 

Umempa nani PORT I see acha kujipaisha basi
Njunwa wamavoko ni independent thinker hangongeagi mambo madogo kama haya
Port nimetafuta mwenyewe na ni FRREEDOM yakuianika mwenyewe ningekuwa nimepewa ningefyata mkia
sema na PORT za TunnelGuru na TroidVPN umenipa mwenyewe






Umenichekesha kweli yaani kitu cha mchana ndo unashtuka sasa hivi
si umesema kumpa Adolf
 
still some spoiled brats are rattling over this shyt
please grow up.
 

Wataalam mukishindwa kuelewana kwa pamoja na sie tusiojua mambo haya tech undani zaidi tutaponea wapi? Jiwekeni sawa
 
teh teh teh ..... Punguzeni vitisho na kick zisizo na maana, we all want same things here!! Hakuna mwisho wa ubora we all need each other.
 
teh teh teh ..... Punguzeni vitisho na kick zisizo na maana, we all want same things here!! Hakuna mwisho wa ubora we all need each other.
jamaa mjinga sana yeye yupo kwenye majisifu tu hajui kama ndio anafuja, kaambiwa mwanzo wacha jamaa wamalize kazi walopewa yeye anataka aonekane kinara.
mie namsubiri ajibu tu niweke mambo hadharani.
Waswahili wanasema vita vya Panzi neema kwa kunguru.
 
Jamani wakubwa mambo yanaenda kombo,mkianza kutunishiana misuli tunaumia sisi huku. Calm down guys.
 
Oya wakubwa
munjy1 ...... njunwa wamavoko ,
. Geukianen kwa PM bwana....
hiì ki2 iko Tanzania wide,
watu weng wanaitegemea
sasa fahari wawili, mki2nishiana Hawa Nyasi Watazid kuumia tu,
vi2 vidogo vidogo hv,
Geukianen kwa PM tu Wakuu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu, nimefuatilia sana uzi huu na inaonekana kuna mvutano wa UJUAJI wa haya mambo. Lakini hata hivyo hakuna aliyesema kiuhakika ni nini kilitokea hadi janga hili likaanza, linaendeleaje na litaisha vipi. Kimsingi ni kuwa huduma hii pamoja na kuwa inaendeshwa kiaina lakini inatusaidia wengi tulio serious na matumizi ya internet na tumechoka kulipa kwa hao jamaa kwani tunajua huduma hii wameiweka ghali sana bila sababu, ni kutaka kutuibia tu. Ushauri wangu ni huu:
1. Nyie wadau mnaotoa maujanja haya mngeacha kuvutana na kukaa kimya kabisa ili hao jamaa wajue wamefanikiwa kuziba matobo yao yote kumbe mengine yako wazi na tunaendelea kuyatumia.
2. Nyie wadau mnaotoa huduma hii kwetu mngeshirikiana ili kutafuta ufumbuzi wa kudumu ili hali hii isijitokeze tena kwa mfano kuanzisha filter kujua wateja wanaohitaji kiukweli huduma hii au wanaotaka kujua mnatumia ujanja gani kutoa huduma ili baada ya muda wakapige hela kwa ISPs.
3. Naamini mnajua kuwa tunawaamini sana ndiyo maana tunawatumia pesa bila kukutana au kufahamiana sana na huduma inakwenda hivyo hata mkikaa kimya bila kujitokeza humu sisi wateja tunajua tutawapata vipi na huduma itaendelea. Suala la kujitangaza wengi kwenye signature zenu mmeeleza, hivyo inatosha kabisa.
4. Kuzozana ni dalili ya kutapatapa, kwamba kumbe hata nyie labda mnayapata haya mambo kibahatibahati tu. Kwamba kama tulivyopaniki wateja baada ya kukuta janga hili na nyie pia mmepaniki. Kwa kawaida mtu makini ana plan B kwa kila anachokifanya, badala ya kuanza kutoleana maneno mazito humu jamvini mngeanza kuexecute plan B.

Tupo pamoja wakuu, haipendezi kuona mnafarakana kiasi hiki. Uzuri ni kwamba sisi wateja serious tunajua uwezo wa kila mmoja wenu. Mimi binafsi inanisikitisha kumuona mtu ninayemwamini akiropoka kama vile anataka tukose wote.
 

kaka haujieelewi mm nilikuwa nakukashifu tu kukwambia lete Port mpya nikijua hauwezi kitu wewe fuata QSAT China Hii sio Fun yako muachie Njunwa wamavoko
najua huwa unadirect wateja wa DroidVPN kwangu sababu huwawezi kuwaudumia na hizo PORT ume mpa nani sema atoe ushaiidi hapa mbona wateja wako wamekupigia uwape port ukawambia hausiki na kugawa settings bali kuuza QSAT sasa iweje uniite mjinga,pimbi,mpumbafu

wewe kweli ujisomi unatafuta SIFA kupitia mgongo wa njunwa wamavoko mm tokea jana nakwambiaa hata PORT ziblockiwe Vipi ntapata PORT nyingine
 

DOGO hacha majivuno Hapa kajitambe na QSAT na sio VPN hata siku moja ulisema saa 4:00PM jana kuwa utampa PORT adolph mm akaquote saa 5:00PM kwamba mpe hizo hakutoa response yoyote mimi nilishapata hizo port around saa Tisa nikawa nakukashifu kuona kama Una lolote au umetunisha 2 balls zako
 

Hii ndo PM niliyopokea kutoka kwa mteja wako

sema sasa hizo PORT ulimpa nani tumfuate physically na sema hiyo PORT ni namba ngapi ili nikuumbue kuwa sio ninayoitumia natengeneza Video sasa hivi kuiweka hiyo PORT mpya na wewe tengeneza video yako tuone sasa nani jembe

ACHA MAJIVUNO KAKA
 
Hey munjy1 kausha nafkiri huyo njunwa wamavoko kesha elewa.
Nasema hv coz sa hv ukiangalia kenya orange keshafanya yake. Nigeria MTN keshafanya yake na south africa watu wanalia pdproxy imegoma.
So inabidi tuwe makini kidogo, punguzeni disclosure ya hii kitu kwa public.
Naamini mkiendelea hv it won't last long.
 
Last edited by a moderator:
duh!! Mimi ni mhanga wa hyo kitu 3months zangu za TG hzo ndo zinataka kupotea... Nasubiri kwa hamu sana hyo port!! Ila just a hint hatufanani cha msingi ni kuchukuliana namna tulivyo tu. U cant make all people behave the same way u do.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…