Gone too soon! Mkalale kwa amani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,551
Reaction score
860,698
Jukwaa la picha tunaungana na wazazi ndugu na jamaa wote katika msiba mzito wa vijana wao
 
Mungu awape nguvu wote walioguswa moja kwa moja na msiba huu
 
Mshana kuna ile picha inayosemekana hawa watoto walipga kabla hawajaanza safari. Kila nikiitafakari naona kama inasema jambo fulani. Em iangalie afu ufanye ule uchambuzi wako ( nakumbuka kuna mada moja ulizungumziaga kuwa picha inaongea?). Wapumzike kwa amani
 
Ni kweli kabisa ile picha inaongea ile picha ina ujumbe wa kutisha sana.... Hawako Kama wana furaha ya safari ngoja nitaileta hapa
 
Very sad
Mungu awalaze mahali pema peponi
 
Brother Mshana Jr umenijengea mazingira magumu sana hasa ya kutopenda kupiga picha tukiwa kwenye kusanyiko. Lile somo la picha nilijifunza kitu.
 
Mkuu Mshana badala ya kuangalia hii picha ya hawa watoto aisee imenikumbusha mengi sana haswa ile mada kuna siku uliileta kuhusu mambo ya picha ......aisee nimeumia sana! Hawa watoto walionekana kama hawako na furaha vile wanavyoonekana. ....Wapumzike kwa amani hawa watoto
 
Brother Mshana Jr umenijengea mazingira magumu sana hasa ya kutopenda kupiga picha tukiwa kwenye kusanyiko. Lile somo la picha nilijifunza kitu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…