Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akiwa na huzuni wakati Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick anamsomea taarifa kuhusu milipuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gongo La Mboto. Makinda ametembelea kambi ya waathirika, Mzambarauni jijini humo.(Picha na Fadhili Akida).
Je si huyu aliyesema mabomu ya mbagala si dharura? Kweli ametuona vilaza. Ndani yake hana lolote isipokuwa unafiki tu!
Mnafiki mkubwa ana roho mbaya kama sura yake.

Inawezekana ni machozi ya kweli
Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akiwa na huzuni wakati Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick anamsomea taarifa kuhusu milipuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gongo La Mboto. Makinda ametembelea kambi ya waathirika, Mzambarauni jijini humo.(Picha na Fadhili Akida).
Mh! Tuangalie na hali halisi, chifu
Kumbuka machozi yana weza kuwa ya furaha au huzuni. Yote ni machozi ya kweli ila yana maana tofauti.