Gomba,! Gomba, gomba,! Jamani wala gomba......

Gomba,! Gomba, gomba,! Jamani wala gomba......

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
[h=3]UKILIZOEA GOMBA TABU!!!!![/h]

Huu utumwa huu jamani, ni zaidi ya ulevi, duuu!!!
 
Jamani raha ya hii kitu mtu asikwambie, karibuni hapa boda ya Namanga sisi twala bila tabu
 
Muonekano wa muuzaji tu ni ishara tosha kuwa hicho akiuzacho si salama...
 
handaz, kuna ile ya soja kalijaza mdomni afu salute juu
 
Hapa jmosi kwangu ni sherehe maana 2kj raha yake watu wengi hawjui hii kitu
Huyu ni chizi yupo garisa kenya
 
Muonekano wa muuzaji tu ni ishara tosha kuwa hicho akiuzacho si salama...

ha! we washangaa huyu? si bora huyu kaweka mfukoni? watu huweka sehemu za siri kabisa unakuta mtu katuna wee mpaka unatadhani busha au vip? cha ajabu hata wanawake huweka humohumo na kwenye maziwa
 
Hapa jmosi kwangu ni sherehe maana 2kj raha yake watu wengi hawjui hii kitu
Huyu ni chizi yupo garisa kenya

muuzaji yup wa gomba ushamuona akiuza kistaarab? wengine huweka kwenye sox, sehem nyeti, kwenye maziwa kwa wanawake yaan vurugu tupu, tofaut na hapa tz kule kenya hasa taveta, huuzwa hadharani kama mbogamboga na hupangwa kwa mafungu
 
kweni ni nini...si mboga tu, vitamin C kwa wingi

hahahahahah! angalia hiyo c ikizid itakua balaah, coz nlishasikia kuna jamaa alisaga gomba kwelkwel usiku kucha mpaka asubuh akatoka na mshumaa kama saa nne asubuh hivi anatafuta duka anunue big G, sasa handas kama hii si balaa tupu jaman????
 
Gomba ndio lenyewe hasa lile gomba gold ama kangeta manake handasi yake ni poa sana.
I love gomba!
 
Sh ngapi??

mi nasikia zinatofautiana bei kulingana na ubora, za upareni huko nasikia bei ndogo za kenya bei kubwa kg 1 sijui wanapima vip hiyo kg inarate 10,000/- mpka 12,000/- bei tu usihof msubiri Waheed Suday,Madame X, Kasumbaleza, na wengineo watakuambia
 
mwl mzima wewe?? vipi hivi wewe umeuona mtaala ama hujauona??
hongera naskia wewe ndo uliye teuliwa na kawambwa kwenda kuchakachua ili upatikane mbtia aachie kiti.

Mie mzima mwenzangu, Hii nchi vituko vitupu, Kawambwa asingeweza kunichagua mimi, ananijua ningempa za uso, akawadanganye hao hao wapiga meza wenzie, afu eti Ndugai akaunda tume ya kuichunguza na kuthibitisha hiyo mitaala na waziri wa elimu akiwamo kwenye tume, yaani ni full sarakasi nchi hii, nina mpango wa kuanzisha model school nitumie mitaala na mihtasari ya nje ya nchi,labda tuanzie hapo kuokoa hiki kizazi, ugumu utakuwa kwenye exams though
 
263799_207289665984394_100001100860004_607161_2626758_n.jpg
 
Gomba ndio lenyewe hasa lile gomba gold ama kangeta manake handasi yake ni poa sana.
I love gomba!

angalia tu heshima jaman, heshima ya baba isije kushuka plzzzz coz nasikia inaondoa heshima kabisa ati!
 
Back
Top Bottom