Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,711
- 128,389
Mie mzima wa afya. Mmekumiss tu mdogo wangu.Write your reply...mh
Umzima weye?
Mie mzima wa afya. Mmekumiss tu mdogo wangu.Write your reply...mh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona kipa wako anashika vbya sana na beki zimekaba hadi vivuli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duuh
Jirani mimi sijui huwa zinanichanganya. Sema leo nimepata somo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua bana jirani.
We sema tu mleta uzi ataoanisha na alichokisikia.
Na kweli jirani. Ila ka mie najua Beki tatu ni Msichana wa kazi.Jirani mimi sijui huwa zinanichanganya. Sema leo nimepata somo.
Hujambo
Mimi mzima. Sasa kwann wanawaita beki tatu? Imetoholewa wapi?? Vijana mna mamboNa kweli jirani. Ila ka mie najua Beki tatu ni Msichana wa kazi.
Mie sijambo kabisa Pacha. Sijui wewe na Familia?
Golikipa katoka maana yake - Washamula nyuma.. ule mtando wa 071----------Mara nyingi nikiwa nimekaa maskani kuna kauli naisikia sana anaweza kupita mwanamke ukasikia watu wanaambiana chini chini uyo mwanamke anayepita hapo golikipa katoka kuna yeyote anayejua maana ya msemo huo?