beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 523
you thnk unaweza kunambia kimya and nkafanya hivyo sababu umenambia?? hell no.. wil go dim only if nkiamua mwenyewe.!! By the way nimekuelewa
Na Raha ya mechi bao(goli).
Goli ni polisemia, kwanza ni tukio la mchezoni, yaani kitendo cha mpira kupita milingoti miwili, lakini pia ni lile umbo la mwisho wa uwanja, lenye goalline, post mbili na crossbar wakati mwingine wavu.
Kwa hiyo maana hutegemea muktadha wa matumizi.
Thank u mphavu.hw are u lakin?
mi siko huko lv mekuelewa vizuri tuu huny
Samahan mphamvuNani kakuambia umis-spell jina langu?
Niko poa by the way, nangoja daku hapa nyumbani.
Hapana chezeiyaHapa Mhe, utasubiri jibu hadi katiba mpya itaanza kutumika hujalipata!
Chezeiya Jg weyee ?
usijali my wife ! Kwanza zis sredi mali yangu ! So far chakachua nami nichakachue kwa laa'zetu!
Ni hivi huyu miss bantu anakuskiaga tu mavitu yako yaani ma'capacity yako! Afu anaonekana anakuogopa maa'ability yako mahuge!
Hapana chezeiya
Beibe
Wewe babu janja hovyoo hebu usitujazie siafu sie kujambishwa ajambishwe mwngne tumbo waumia wewe hebu bana kaoge unaharibu kijiweNaona unavyomlamba kisogo babu jinga.
hata kama ni mali yako ukicheza rafu lazima upigwe kadi :focus: Hii ni kuhakikisha thread inabaki salamaeace:
Wewe babu janja hovyoo hebu usitujazie siafu sie kujambishwa ajambishwe mwngne tumbo waumia wewe hebu bana kaoge unaharibu kijiwe