Wakubwa mambo?
Ni hivi , pamesemwa
> Golikipa yuko kwenye goli lake .
Pakasemwa tena
> Kipa huyu keshafungwa goli moja.
Pakasemwa pia
> Goli la kaskazini halilali njaa !
Tatizo langu goli ni lipi ?
Ni ile miti (post) zinazokaa na nyavu ?
Au goli ni mpira unavuka line na kuingia nyavuni ?
Which is which ?
Naomba kutoa hoja .
Love za asubuh mim navojua watu huwa wanachanganya saana kuna tofauti kati ya nomino na kielezi goli ni nomino, golin ni kielez na goli is an outcome au result ambayo hupatikana baada ya mpira kuzama nyavuni, ila golin ni sehemu ambapo goli limefungwa. Na labda niseme kitu hata ktk wasimuliz wanasemaga upande wa kaskazin au wamashariki huwa wanasema ivi kwamfano azam inafunga magharibi mwa uwanja.nahis hivo na ndo wazo langu mpenzi.

Miss bantu vipi kwani ndie mie beibe nasty unaujumbe labda au ulikuwa unanisikiaga hukuwa nibahatisha? Ama?kumbe huyu ndo beibe nasty... hahahahahahaha
BTT:
Goli ni goli tu na yote yanaweza yasilale njaa..
Miss bantu vipi kwani ndie mie beibe nasty unaujumbe labda au ulikuwa unanisikiaga hukuwa nibahatisha? Ama?
Usijali my wife ! Kwanza zis Sredi mali yangu ! So far chakachua nami nichakachue kwa laa'zetu!
Ni hivi huyu Miss Bantu anakuskiaga tu mavitu yako yaani ma'capacity yako! Afu anaonekana anakuogopa maa'abitity yako maHuge!

Maskin miss bantu mie ndo nasty n u thought mekujibu hasly bt wala nahis ume pokea tofaut saaana any ways im sorry ookey kama u thought dat waybasi niliku upgrade xana kumbe you sound that way.!! Ijumaa njema
kuogopa??? ennhhh.. Kwa kipi hasa.!!?
Miss Bantu.... Beibe Nasty keshakwambia sorry.. yanini malumbano jamani miss ban2?
May b coz of the name nasty bt sitaki lig hapa wewe kimya na wewe love kimya im done sa endeleen ntawapeleka kwa babu aspirin
mapenzi hayana macho,kati ya nasty na missbantu mmjawapo atakuwa nyumba ndogo, mbona J anakingungumizi sana leo duuuuu!!!ila wng sijamtia machon toka asubuhi mwenye nae amuachie jamani tym za futru hizi.