DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,470
Hizi nchi za Afrika Mashariki ziache kulazimisha ubingwa kwa njia za panya.
Katika mechi ya Uganda vs South Africa, goli la kwanza la Uganda lilikuwa clear offside. Inakuwaje mshika kibendera hadi wasaidizi wa VAR waliruhusu lile goli? Katika zama hizi za VAR, kukubali goli kama lile ni kujidhalilisha tu.
Sitaki sana kuongelea zile penati mbili hasa ya pili ambayo ni wazi haikuwa penati.
Siwatetei South Africa ambao nilishasema wamekuja na timu mbovu na hawastahili kufika mbali katika mashindano na pia nasemaga siku zote napenda kuona timu mwenyeji haitoki mapema katika mashindano ili mashindano yasidode.