Gogle- natafuta nyumba ndogo

Gogle- natafuta nyumba ndogo

Gogle

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,495
Reaction score
871
Vyumba 2
Choo
Bafu
 
Attachments

  • 1394968772778.jpg
    1394968772778.jpg
    91 KB · Views: 907
Nyumba ndogo zipo nyingi,,, unataka yenye wapangaji wengi au peke ako????? taja maeneo tuite dalali sasa ivi.
 
Iwe self container ?au choo cha nje ? ya umeme au giza ?iwe na vyumba vingapi ?
 
Heshima kwenu, Ni yuleyule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani. Leo nimekuja mbele yenu waungwana wenzangu munipe msaada. Sina mke ila nna mchumba ambae bado yupo chuoni, anamalizia master yake, atakamaliza august 2015, baada ya hapo ndio tutapanga ndoa, mchumba ana msimamo mgumu sana, hataki kujigijigi hadi ndoa ifungwe. Hivyo nimeamua kutafuta nyumba ndogo kwa muda hadi hapo mchumba wangu atakapo kuwa tayari. Nyumba ndogo anatakiwa awe na muonekano kama huu hapa chini: Asanteni sana
Kuna nyumba ndogo ipo pale njia panda ya Kiparang'anda ina vyumba viwili tu na jiko. Kama inakufaa nipm. Dalali hatakiwi.
 
Kuna nyumba ndogo hapa ipo bonde la mkwajuni ,wanapingisha bure kabisa
 
Dalali wa uhakika nipo hapa..

nina nyumba ndogo self contained, non self, vyenye umeme na maji ama tofauti..

bei naweza kushusha kulingana na tunavyofahamiana, malipo ni miezi sita lakini mmoja ni wangu dalali!

vyumba viko sinza, manzese, mbagala kuu, rangi3, mbezi zote mbili.. ama utakako taka wewe.. hata mikoani pia!

sharti... hatutaki ugomvi kama hawa!
 
Kuna nyumba ndogo chumba kimoja master na sebule,jiko,kodi elfu 3 kwa mwezi kodi miezi 6,maji na umeme upo ipo jambiani karibu na njia panda ya dole.
 
Heshima kwenu,

Ni yuleyule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani.
Leo nimekuja mbele yenu waungwana wenzangu munipe msaada.
Sina mke ila nna mchumba ambae bado yupo chuoni, anamalizia master yake, atakamaliza august 2015, baada ya hapo ndio tutapanga ndoa, mchumba ana msimamo mgumu sana, hataki kujigijigi hadi ndoa ifungwe.
Hivyo nimeamua kutafuta nyumba ndogo kwa muda hadi hapo mchumba wangu atakapo kuwa tayari.
Nyumba ndogo anatakiwa awe na muonekano kama huu hapa chini:

Asanteni sana

We nawe kila siku stori hizo hizo..embu kata hicho kikojoleo naona kinakusumbua sana
 
Hii habari ipelekwe jukwaa la matangazo uko kuna madalali wengi.

Ila ungetwambia kama iwe na bafu ndani au nje.
 
Heshima kwenu,

Ni yuleyule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani.
Leo nimekuja mbele yenu waungwana wenzangu munipe msaada.
Sina mke ila nna mchumba ambae bado yupo chuoni, anamalizia master yake, atakamaliza august 2015, baada ya hapo ndio tutapanga ndoa, mchumba ana msimamo mgumu sana, hataki kujigijigi hadi ndoa ifungwe.
Hivyo nimeamua kutafuta nyumba ndogo kwa muda hadi hapo mchumba wangu atakapo kuwa tayari.
Nyumba ndogo anatakiwa awe na muonekano kama huu hapa chini:

Asanteni sana

halafu si ndio uliaga kuwa hatutakuona tena huku?? Mbona unarejea kimyakimya? Ww ni msukuma au?
 
halafu si ndio uliaga kuwa hatutakuona tena huku?? Mbona unarejea kimyakimya? Ww ni msukuma au?

^^
Huyu jamaa huwa hana msimamo katika maamuzi yake,, leo hili kesho lile, halafu huwa anafurahia tunapochangia mada zakee, Nyerere aliwahi kuita watu wa aina hii wana 'uchi wa akili'
By the way!
Mzima Mkuu Mgirik
^^
 
Last edited by a moderator:
Mods em peleka hii jukwaa la matangazo ! Kule atapata kiurahisi kabisa nyumba ndogo,au siyo wadauuu!!?
 
Jaman kwann aende jukwaa LA matangazo...

Kuna nyumba ndogo one room ya udongo ucije na feni imetoboka toboka upepo unapita...
Maji ya kisima ...
Choo cha shimo kipo buguruni
 
^^
Huyu jamaa huwa hana msimamo katika maamuzi yake,, leo hili kesho lile, halafu huwa anafurahia tunapochangia mada zakee, Nyerere aliwahi kuita watu wa aina hii wana 'uchi wa akili'
By the way!
Mzima Mkuu Mgirik
^^

kweli kabisa mkuu....... Huyu jamaaa anahtaji nasaha zako kaka.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom