Godwin Gondwe siku hizi yuko busy kweli huko Handeni, je ule Ulokole wake ameupumzisha kwa muda?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,148
110,604
Napenda sana jinsi alivyo busy huko Wilayani Kwake Handeni Mkoani Tanga japo napatwa mno na ' ukakasi / wasiwasi ' kama ule ' Ulokole ' wake ninaojua bado anao au ameupumzisha kwa muda kwani kuna vitu vingine anavyovifanya huko hata Mwenyezi Mungu hapendi.

Nawasilisha.
 
Alimuomba MUNGU kwa muda mrefu 'hakumsikia' lakini mungu Magu kamsikia. Lazima abadirike na kumtumikia mungu Magu maana yeye shavu anakupa hapa hapa. Kwani umesikia kuwa Gondwe hapendi ukuu wa mkoa?
 
Tatizo unajifanya unaakili saaaaaana kumbe ni kukosa hekima na ukigeugeu usio na kichwa wala miguu. Zamani nilidhani una akili sana ila kadiri siku zinavyozidi kusonga jua linazidi kuwaka kichwani na kukausha ubongo. Take care Brother from anotner Mother.
 
Napenda sana jinsi alivyo busy huko Wilayani Kwake Handeni Mkoani Tanga japo napatwa mno na ' ukakasi / wasiwasi ' kama ule ' Ulokole ' wake ninaojua bado anao au ameupumzisha kwa muda kwani kuna vitu vingine anavyovifanya huko hata Mwenyezi Mungu hapendi.

Nawasilisha.
Njaa na kujikomba. Ndio maana niliachana na dini
 
Napenda sana jinsi alivyo busy huko Wilayani Kwake Handeni Mkoani Tanga japo napatwa mno na ' ukakasi / wasiwasi ' kama ule ' Ulokole ' wake ninaojua bado anao au ameupumzisha kwa muda kwani kuna vitu vingine anavyovifanya huko hata Mwenyezi Mungu hapendi.

Nawasilisha.
Vitu gani anavifanya ambavyo Mwenyezi Mungu havipendi?
 
Tangu mwaka uanze umekuwa hovyo sana, mada zako unazoleta humu zakishambenga tu,

Mkuu Hivi huna mengine ya kufanya?
 
Napenda sana jinsi alivyo busy huko Wilayani Kwake Handeni Mkoani Tanga japo napatwa mno na ' ukakasi / wasiwasi ' kama ule ' Ulokole ' wake ninaojua bado anao au ameupumzisha kwa muda kwani kuna vitu vingine anavyovifanya huko hata Mwenyezi Mungu hapendi.

Nawasilisha.
Huwezi kuwa Mlokole na ukawa mwanaccm , hakuna mwanaccm ambaye ni mcha Mungu , kanuni za chama chao zinawabana .

Kama Gondwe alijifanya mlokole na huku anamiliki kadi ya ccm basi alidhamiria kumkufuru Mungu na amefanikiwa .
 
Napenda sana jinsi alivyo busy huko Wilayani Kwake Handeni Mkoani Tanga japo napatwa mno na ' ukakasi / wasiwasi ' kama ule ' Ulokole ' wake ninaojua bado anao au ameupumzisha kwa muda kwani kuna vitu vingine anavyovifanya huko hata Mwenyezi Mungu hapendi.

Nawasilisha.

Hivi alisha naturalize yule bwana? Au ana duo citizenship?
 
Tangu mwaka uanze umekuwa hovyo sana, mada zako unazoleta humu zakishambenga tu,

Mkuu Hivi huna mengine ya kufanya?

Unanilipia ' Bundle ' langu Wewe? Swine. Halafu Wewe ni nani wa kunipangia Mimi humu cha Kuandika na Kutokuandika? Nadhani kuna unachokitafuta Kwangu hivyo najua utarudi tena sasa nakusubiri kwa hamu ili nimalize Kazi tuheshimiane kabisa.
 
Back
Top Bottom