Godwin Gondwe ndani ya SCOAN live!

Kuna link ya kuanfalia online?
 
Mtu mwingine maarufu niliyemuona ni dada mmoja mtangazaji wa EATV simfahamu kwa jina.Inapendeza kuona bendera ya taifa lako ikionekana ktk tv inayofuatiliwa kuliko Channel yoyote ya Kikristo Duniani.
 
nimeangalia lkn sijaziona hizo bendera za TZ na hao kina Godwin Gondwe. hebu ngoja niendeleee kuangalia maana hili kanisa ni kubwa sana
 
Muigizaji Dotnata nae yupo SCOAN live.
 
Fuatilieni ibada live badala ya kutoa comment za hisia.
 
mhh,eti inahitajika pia thread kulielezea hili. Kweli tumefilisika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…