1.TAN FOAM - Sijui bei kwa mkoa uliopo ila ndo godoro bora zaidi lina hali zote kipindi cha baridi ni kama lina tengeneza kajoto joto, na kipindi cha joto hutengeneza kabaridi fulani hivi. Hakika ni godoro la kipekee. BEI YAKE IMECHANGAMKAHabari wanajamii,
Jamani naulizia ni godoro la aina gan ambalo ni zuri sana (OG) na bei zake na yanapatikana wap kwa ajili ya watu wazima hasa wa wazee. Mama yangu anakuja mjini kutibiwa nahitaji kununua godoro zuri kwa ajili yake.. Naomba mapendekezo tafadhari lakin wandugu.
Anaweza kupigwa akitumia kigezo hicho.Angalia lenye bei ya juu ndo bora
Yapo bei ni juu lakini mwezi mmoja tu mgongo unaanza kuuma hapo godoro bora zaidi ni TANFOAM halafu ndo mengineAngalia lenye bei ya juu ndo bora
Mwaka wa 15 huu Tanfoam kama Bado jipya vileYapo bei ni juu lakini mwezi mmoja tu mgongo unaanza kuuma hapo godoro bora zaidi ni TANFOAM halafu ndo mengine
Huyo ni muuzaji watumiaji tunasema QFL MAGODORO DODOMANilinunua GSM nilijuta miezi 10 tu lishaweka shimo katikati..
Nasubiri mawazo yenu wadau, kuna muuza magodoro ana nishaur Arusha delux ni zuri kuliko hata QFL na Vitafoam
Kabla sijalichukua ni badilishe
Umeifunga mada!1.TAN FOAM - Sijui bei kwa mkoa uliopo ila ndo godoro bora zaidi lina hali zote kipindi cha baridi ni kama lina tengeneza kajoto joto, na kipindi cha joto hutengeneza kabaridi fulani hivi. Hakika ni godoro la kipekee. BEI YAKE IMECHANGAMKA
2. GODORO DODOMA ( QUALITY FOAM) ni zuri halibonyei hovyo lina kushawishi kulala na ulalapo hupata usingizi mororoooo
3. BANCO hili nalo ni bora .
Nikinunua lenye density ya 24, nch 8, vp litaishiHuyo ni muuzaji watumiaji tunasema QFL MAGODORO DODOMA
Unaposema dodoma yapo mengi sanaa mkuuMAGODORO NI
1.TANFORM
2.DODOMA
3 BANCO
DODOMA QFLUnaposema dodoma yapo mengi sanaa mkuu
Godoro lolote ni zuri ila kwa kudumu unachotakiwa ni kujua uzito wako na lenyewe liwe na density gani hilo ndio la msingi hata hao Tanform kuna yenye density ndogo yanabonyea katikati cha muhimu uzito bro.Habari wanajamii,
Jamani naulizia ni godoro la aina gan ambalo ni zuri sana (OG) na bei zake na yanapatikana wap kwa ajili ya watu wazima hasa wa wazee. Mama yangu anakuja mjini kutibiwa nahitaji kununua godoro zuri kwa ajili yake.. Naomba mapendekezo tafadhari lakin wandugu.
Sawa density ya 24 huwa yanabonyea mkuu??DODOMA QFL