Godfrey Tumaini aomba msamaha

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,185
Reaction score
109,048
Godfrey Tumaini maarufu kama Dudubaya ambaye ni mwanaharakati wa kulinda migongo amemuomba msamaha msanii mwenzake Ommy Dimpozi akisema alitumia jina lake katika harakati zake kutengeneza content tu ili ujumbe uende mjini na ufike mbali!
 
Kwa hiyo gays community mmekuwa relieved?
 
Kabisaaa
Mtu mzito aliye nyuma ya Dimpoz kampiga bitiii πŸ˜‚
Kuna ile kauli aliwahi kuisema ukimpiga kofi akiwa polisi yeye anarudisha matatu kwasababu polisi si sehemu ya yeye kupigwa mbona aliitubu. Uzuri ni kwamba anajua wazi kabisa kuna watu hawasemi mara mbili mbili nchi hii.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mamba katepeta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…