Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,032
Kumbe Hanscana mkali ehee..Safi sanaGodfather mkali, huyo justin ni kama hanscan tu.
Kumbe Hanscana mkali ehee..Safi sanaGodfather mkali, huyo justin ni kama hanscan tu.
1.Dbn Nyts ft. Zinhle Ngidi & Trademark-ShumayaEt wasanii wa south hawamjui godfather huyo campos ndo hajulikana wasanii wanatoka nigeria wanamfata godfather na mtu pekee wa kushindana na godfather ni clerence peter huyo justin tunamuweka kundi moja na derick tena derick hajulikana coz hakifanya video haandiki jina lake ila anamkalisha huyo Justin
Wa kawaida sema wanapenda kupaisha tu eti na kumlinganisha na adam wa visual labKumbe Hanscana mkali ehee..Safi sana
Godfather n mnigeria sema kabase Kazi zke south africaGODFATHER sio kampuni ya south africa!
Mhhh! Juuzijuzi nilimsikia Linex analia kuhusu huyu Bwana.Adam Juma wa Visual lab ndio mkali
Haaaaaah bucie wimbo Gan na cassper hajawahi fanya Kazi na justin Campos ila kafanya Kazi na nicky campos bhn embu jipange n bora ungeniambia space studio pictures ndo kampuni inayoogoza kufanya Kazi na wasanii wengi wakubwa wa s.a godfather anafanya Kazi nyingi na wanigeria tena wasanii wakubwa n kwny list ya madirector wakubwa godfather kamkaisha justin1.Dbn Nyts ft. Zinhle Ngidi & Trademark-Shumaya
ni moja kati ya nyimbo bora zaidi pale south 2015
2.Uhuru
3.Oskido
4.Bucie
5.Busiswa
6.Casper Vyovest
hiyo ni list kwa uchache ya wasanii wakubwa waliofanya video na jamaa....haya nipe list yako ya wasanii wakubwa wa south waliofanya kazi na Goodfather kama hawatokuwa wapopo tu
Kuna kampuni inaitwa studio space pictures ndo inakimbiza s.a wasanii wengi wakubwa wanaitumia kushoot video zaoDirector gani SA yuko juu?
Haaaah huyo Clarence bei yake tu ni shida ipo juu sana nilishangaa mwaka Jana channel o walimuweka namba mbili namba moja wakamuweka sesanClarence Peter weka mbali na watoto usimlinganishe na upuuzi pllllllz tena nliskia anaish US jamaa .
Mapopo ndo akina nan hao mkuu1.Dbn Nyts ft. Zinhle Ngidi & Trademark-Shumaya
ni moja kati ya nyimbo bora zaidi pale south 2015
2.Uhuru
3.Oskido
4.Bucie
5.Busiswa
6.Casper Vyovest
hiyo ni list kwa uchache ya wasanii wakubwa waliofanya video na jamaa....haya nipe list yako ya wasanii wakubwa wa south waliofanya kazi na Goodfather kama hawatokuwa wapopo tu
Ni mkenya mkuu pitia pitia thread flan humu jf inamuupezea jamaa history akeGodfather n mnigeria sema kabase Kazi zke south africa
Ni mkenya mkuu pitia pitia thread flan humu jf inamuupezea jamaa history ake
Godfather n mnigeria, anaitwa Michael Uche Ogoke hana uhusiano n wakenya haujawazoea wakenya kila mtu maarufu wanasema n mkenyaNi mkenya mkuu pitia pitia thread flan humu jf inamuupezea jamaa history ake
Haaaah wakenya wazee wa kukamata fursaacheni utani jama Godfather ni mkenya? duh kweli kenya imebarikiwa hahahahah
HaaaahaaaaGodfather n mnigeria, anaitwa Michael Uche Ogoke hana uhusiano n wakenya haujawazoea wakenya kila mtu maarufu wanasema n mkenya
wanaigeria mkuuMapopo ndo akina nan hao mkuu