Godbless Lema: Wabunge wa CCM wana mahudhurio mazuri sana bungeni kuliko Wapinzani kwa sababu tunatofautiana majukumu kisiasa katika ujenzi wa Taifa

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
May 30, 2017
2,872
2,000
IMG_0149.JPG

Godbless Lema, Mbunge anayeongoza kwa utoro bungeni.

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless, akiongea na Mwananchi juu ya kutajwa na Spika kwa kuongoza kuwa na mahudhurio hafifu bungeni; amedai kuwa hahudhurii vikao vya Bunge kwa sababu ya kutofautiana na Wabunge wa CCM katika majukumu ya kisiasa: "Pengine Wabunge wa CCM wanaweza kuwa na mahudhurio mazuri sana kuliko sisi Wapinzani kwa sababu tunatofautiana majukumu kisiasa katika ujenzi wa Taifa letu."

Jana Spika wa Bunge, Job Ndugai alimtaja Lema kuwa ndiye Mbunge anayeongoza kwa utoro bungeni, akizidiwa tu na Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Mahiga. Lema amehudhuria vikao vya Bunge kwa asilimia 7.8%.

Kulingana na Spika, top ten ya Wabunge (sio Mawaziri) wasiohudhuria bungeni, imetawaliwa na Wabunge wenye asili ya Kiasia, huku Wabongo pekee wakiwa Godbless Lema, David Mathayo na John Mnyika (wote wakiwa wazee wa Kaskazini).

Wabunge walioongoza kwa mahudhurio mazuri bungeni na ambao hawajawahi kukosa Kikao, wote wanatoka CCM nao ni: Justin Monko (Singida Kaskazini); Felister Bura (Viti Maalum) na Omary Kigua (Kilindi). Waliohudhuria kwa asilimia 99% wako Sita na wote wanatoka CCM.

Hali hiyo inashangaza sana ukifikiria jinsi ambavyo Wabunge wa Upinzani wamekuwa wakijitanabaisha kuwa wanawatetea wananchi. Sasa, inakuwaje wanawatetea wananchi wakati hawahudhurii hata vikao vya Bunge?

Je, Lema naye ana biashara gani za kumfanya awe na shughuli ya kupotezea midalali ya kila siku wanayopokea Wabunge?
 
Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
May 30, 2017
2,872
2,000
Sikumwelewa kabisa Lema anaposema Wabunge wa CCM wanatofautiana na Wapinzani katika majukumu kisiasa katika ujenzi wa Taifa. Ina maana hicho ndicho kinachofanya wasihudhurie bungeni?
Je, ina maana Wabunge wako huru zaidi kufanya siasa nje ya Bunge kuliko bungeni ila wanaudanganya umma kuwa, wamezuiwa kufanya siasa?
Ama Lema huwa anatumia muda wake mwingi kukesha mitandaoni kama mwanaharakati akiikashifu Serikali?
 
ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
91,520
2,000
Sikumwelewa kabisa Lema anaposema Wabunge wa CCM wanatofautiana na Wapinzani katika majukumu kisiasa katika ujenzi wa Taifa. Ina maana hicho ndicho kinachofanya wasihudhurie bungeni?
Je, ina maana Wabunge wako huru zaidi kufanya siasa nje ya Bunge kuliko bungeni ila wanaudanganya umma kuwa, wamezuiwa kufanya siasa?
Ama Lema huwa anatumia muda wake mwingi kukesha mitandaoni kama mwanaharakati akiikadhifu Serikali?
Aisee
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,824
2,000
Kifupi mheshimiwa SPIKA naomba Lema arudishe posho zote alizolipwa kwenda Dodoma kikazi najua huwa wanalipwa wabunge masurufu ya safari kwenda vikaoni dodoma na posho za vikao.Tafadhali arudishe haraka kwa siku zote ambazo alitoroka vikao
 
Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
12,844
2,000
View attachment 936036
Godbless Lema, Mbunge anayeongoza kwa utoro bungeni.

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless, akiongea na Mwananchi juu ya kutajwa na Spika kwa kuongoza kuwa na mahudhurio hafifu bungeni; amedai kuwa hahudhurii vikao vya Bunge kwa sababu ya kutofautiana na Wabunge wa CCM katika majukumu ya kisiasa: "Pengine Wabunge wa CCM wanaweza kuwa na mahudhurio mazuri sana kuliko sisi Wapinzani kwa sababu tunatofautiana majukumu kisiasa katika ujenzi wa Taifa letu."

Jana Spika wa Bunge, Job Ndugai alimtaja Lema kuwa ndiye Mbunge anayeongoza kwa utoro bungeni, akizidiwa tu na Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Mahiga. Lema amehudhuria vikao vya Bunge kwa asilimia 7.8%.

Kulingana na Spika, top ten ya Wabunge (sio Mawaziri) wasiohudhuria bungeni, imetawaliwa na Wabunge wenye asili ya Kiasia, huku Wabongo pekee wakiwa Godbless Lema, David Mathayo na John Mnyika (wote wakiwa wazee wa Kaskazini).

Wabunge walioongoza kwa mahudhurio mazuri bungeni na ambao hawajawahi kukosa Kikao, wote wanatoka CCM nao ni: Justin Monko (Singida Kaskazini); Felister Bura (Viti Maalum) na Omary Kigua (Kilindi). Waliohudhuria kwa asilimia 99% wako Sita na wote wanatoka CCM.

Hali hiyo inashangaza sana ukifikiria jinsi ambavyo Wabunge wa Upinzani wamekuwa wakijitanabaisha kuwa wanawatetea wananchi. Sasa, inakuwaje wanawatetea wananchi wakati hawahudhurii hata vikao vya Bunge?

Je, Lema naye ana biashara gani za kumfanya awe na shughuli ya kupotezea midalali ya kila siku wanayopokea Wabunge?
Je nini michango na tija kutoka kwa hao wenye mahudhurio 99%?
 
Mr Carter

Member
Mar 3, 2018
74
150

Sasa hujaelewa nini mkuu Mgambilwa ni mntu
Wabunge wa Upinzani ni Multifunctions kama Google, Hao wanaoshinda huko Bungeni wengi wanalenga Seating Allowance na wengi wao sio wachanganiaji, kwa kifupi sio potentials.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
32,659
2,000
View attachment 936036
Godbless Lema, Mbunge anayeongoza kwa utoro bungeni.

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless, akiongea na Mwananchi juu ya kutajwa na Spika kwa kuongoza kuwa na mahudhurio hafifu bungeni; amedai kuwa hahudhurii vikao vya Bunge kwa sababu ya kutofautiana na Wabunge wa CCM katika majukumu ya kisiasa: "Pengine Wabunge wa CCM wanaweza kuwa na mahudhurio mazuri sana kuliko sisi Wapinzani kwa sababu tunatofautiana majukumu kisiasa katika ujenzi wa Taifa letu."

Jana Spika wa Bunge, Job Ndugai alimtaja Lema kuwa ndiye Mbunge anayeongoza kwa utoro bungeni, akizidiwa tu na Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Mahiga. Lema amehudhuria vikao vya Bunge kwa asilimia 7.8%.

Kulingana na Spika, top ten ya Wabunge (sio Mawaziri) wasiohudhuria bungeni, imetawaliwa na Wabunge wenye asili ya Kiasia, huku Wabongo pekee wakiwa Godbless Lema, David Mathayo na John Mnyika (wote wakiwa wazee wa Kaskazini).

Wabunge walioongoza kwa mahudhurio mazuri bungeni na ambao hawajawahi kukosa Kikao, wote wanatoka CCM nao ni: Justin Monko (Singida Kaskazini); Felister Bura (Viti Maalum) na Omary Kigua (Kilindi). Waliohudhuria kwa asilimia 99% wako Sita na wote wanatoka CCM.

Hali hiyo inashangaza sana ukifikiria jinsi ambavyo Wabunge wa Upinzani wamekuwa wakijitanabaisha kuwa wanawatetea wananchi. Sasa, inakuwaje wanawatetea wananchi wakati hawahudhurii hata vikao vya Bunge?

Je, Lema naye ana biashara gani za kumfanya awe na shughuli ya kupotezea midalali ya kila siku wanayopokea Wabunge?
Ukiwa na fedha utahudhuria vikao muhimu tu na vyenye tija kwa sababu Posho haitakuwa kipaumbele chako. Rostam na Mo hawakuwa wahudhuriaji wazuri bungeni lakini walikuwa watu wa mikakati yenye tija majimboni mwao!
 
Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,384
2,000
Nidhamu au uoga ili teuzi za uwaziri zisiwapite.
Ni nidham mkuu... mimi ni ACT WAZALENDO ila kusema ukweli hawa jamaa wenzetu wa CCM wako vizuri na wamewekeza, just imajini mtu wa la saba tu kama msukuma anavotema cheche utasema ni ouga, mmmh tazama kina Nape, Bashe wanavotema cheche utasema ni uoga. hawa wana nidham. huwezi kukuta mtu kama nape au bashe au mwanaccm yeyote mbunge kaitisha conference ili kutafuta kick maana anajua sehem ya kusemea hayo ni bungeni ambako kuna watu sahihi wa kujibu tuhuma hizo. sasa wanasiasa uchwara hawa utakuta anaitisha press anatukana mwanzo mwsho ili tu asikie BBC VOA au DW
 
Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,384
2,000
Ukiwa na fedha utahudhuria vikao muhimu tu na vyenye tija kwa sababu Posho haitakuwa kipaumbele chako. Rostam na Mo hawakuwa wahudhuriaji wazuri bungeni lakini walikuwa watu wa mikakati yenye tija majimboni mwao!
Kama posho si kipaumbele kwanini wasikiache kabisa waseme kiende kujenga miundombinu kwenye majimbo yao
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,326
2,000
Kifupi mheshimiwa SPIKA naomba Lema arudishe posho zote alizolipwa kwenda Dodoma kikazi najua huwa wanalipwa wabunge masurufu ya safari kwenda vikaoni dodoma na posho za vikao.Tafadhali arudishe haraka kwa siku zote ambazo alitoroka vikao
Sitting allowance maana yake ni nini? Utaweza kulipwa hela hiyo bila kuwepo bungeni?

Nisikuchoshe kwa maswali mepesi nisije kuchanganya akili yako ya kuvukia barabara
 
Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,384
2,000

Nidhamu ya NDIOOOO iliyotufikisha hapa.

Endeleeni kuimarisha nidhamu ya ndio kwa maslahi ya matumbo yenu na CCM, wenye akili wanapambana na mkoloni mweusi
Ndio imetufikisha hapa kweli maana Viwanda vinajengwa, madaraja na fly over zinajengwa, mapato yameongezeka, kwenye madini makusanyo yameongezeka mara dufu licha ya upinzani kuzilia mswada kama mwanamke, SGR zinajengwa, Ndege zinanunuliwa tena keshi nk
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,824
2,000
Sitting allowance maana yake ni nini? Utaweza kulipwa hela hiyo bila kuwepo bungeni?

Nisikuchoshe kwa maswali mepesi nisije kuchanganya akili yako ya kuvukia barabara
Kuna PER DIEM ile pesa ya kujikimu arudishe siku zote hakuwepo.Unalipwa uende bungeni sio uiweke mfukoni ulale Arusha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom