Godbless Lema: Utalii umeporomoka kwa 48%, Tanzanite 40%...tunakwenda wapi?

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,438
14,916
Mbunge wa arusha mjini bwana Godbless lema,akichangia bungeni,amesema utalii umeporomoka kwa asilimia 48, hii ina maana katika watalii mia moja,watalii 52 wameikimbia nchi na hawaji tena Tanzania

,na Tanzanite imeporomoka kwa asilimia 40.

Ni majuzi tu waziri wa utalii alisema Tanzania haitaki watalii maskini,inataka matajiri kama akina Bill Gates,sasa serikali inaisoma namba kwa kukosa mapato
 
Akili za Maghembe ni sawa na yule Wasira! Wamemdanganya ngosha na hivi anakurupuka hajui uchumi wala diplomasia ameshaharibu uchumi maana watalii wanaingiza pesa nyingi asilimia 10 pato la Taifa hizo 29tril watazisikia! Watu hawaweki pesa bank tena! Wengi wamefunga biashara.....tuone hizo kodi za nguvu watazipata wapi??
Mbunge wa arusha mjini bwana Godbless lema,akichangia bungeni,amesema utalii umeporomoka kwa asilimia 48,na Tanzanite imeporomoka kwa asilimia 40.

Ni majuzi tu waziri wa utalii alisema Tanzania haitaki watalii maskini,inataka matajiri kama akina Bill Gates,sasa serikali inaisoma namba kwa kukosa mapato
 
Akili za Maghembe ni sawa na yule Wasira! Wamemdanganya ngosha na hivi anakurupuka hajui uchumi wala diplomasia ameshaharibu uchumi maana watalii wanaingiza pesa nyingi asilimia 10 pato la Taifa hizo 29tril watazisikia! Watu hawaweki pesa bank tena! Wengi wamefunga biashara.....tuone hizo kodi za nguvu watazipata wapi??

Utalii unachangia trilioni 29trilion kwenye pato la taifa?
 
hatari sana,uchumi umekwisha kabisa,asilimia 48 maana yake uchumi umeporomoka kwa nusu
 
Mbunge wa arusha mjini bwana Godbless lema,akichangia bungeni,amesema utalii umeporomoka kwa asilimia 48, hii ina maana katika watalii mia moja,watalii 58 wameikimbia nchi na hawaji tena Tanzania

,na Tanzanite imeporomoka kwa asilimia 40.

Ni majuzi tu waziri wa utalii alisema Tanzania haitaki watalii maskini,inataka matajiri kama akina Bill Gates,sasa serikali inaisoma namba kwa kukosa mapato

MWEZI WA NOVEMBER? YA MWAKA GANI..MH LEMA KWANI SITULISKIA AMEFUNGWA??
 
Mbunge wa arusha mjini bwana Godbless lema,akichangia bungeni,amesema utalii umeporomoka kwa asilimia 48, hii ina maana katika watalii mia moja,watalii 58 wameikimbia nchi na hawaji tena Tanzania

,na Tanzanite imeporomoka kwa asilimia 40.

Ni majuzi tu waziri wa utalii alisema Tanzania haitaki watalii maskini,inataka matajiri kama akina Bill Gates,sasa serikali inaisoma namba kwa kukosa mapato
Mwezi November sio mwezi wa watalii kuja,endeleeni kulishwa matango pori
 
Back
Top Bottom