Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,896
Kwa hiyo bunge ndio maraisi wa nchi na raisi ndio mbunge? Kama ndilo linasimamia serikali lina uwezo wa kuajiri na kufukuza au kushusha au kupandisha cheo afisa wa serikali?Kazi ya Bunge ni kuisimamia Serikali,Tanzania kazi ya Bunge ni kusimamiwa na Serikali,hivi ndivyo wananchi wanapaswa kuelewa,Bunge ambalo haliwezi kusimamia haki ya Mbunge aliyepigwa risasi kupata haki yake,bunge hilo halitaweza kujua shida zenu za maji hata kama mnakufa na kiu
Kama bunge kazi yake kusimamia Serikali je Lina uwezo wa kuajiri au kufukuza afisa wa serikali kumpunguza cheo au kupandisha cheo?rudi shule
Nina mashaka na elimu yako. Na kama ulienda shule ulikuwa unakuwa wa kwanza kutokea mwishoKwa hiyo bunge ndio maraisi wa nchi na raisi ndio mbunge? Kama ndilo linasimamia serikali lina uwezo wa kuajiri na kufukuza au kushusha au kupandisha cheo afisa wa serikali?
1. ElimuKwa hiyo bunge ndio maraisi wa nchi na raisi ndio mbunge? Kama ndilo linasimamia serikali lina uwezo wa kuajiri na kufukuza au kushusha au kupandisha cheo afisa wa serikali?
Lina uwezo hata wa kumng'oa Mtukufu FYIKama bunge kazi yake kusimamia Serikali je Lina uwezo wa kuajiri au kufukuza afisa wa serikali kumpunguza cheo au kupandisha cheo?
Hata wakitunga sheria ili itumike hadi rais asaini.Kama bunge kazi yake kusimamia Serikali je Lina uwezo wa kuajiri au kufukuza afisa wa serikali kumpunguza cheo au kupandisha cheo?
L tanzania halina huo uwezo maana halijamchagua ila yeye anaweza kuvunja bunge.Lina uwezo hata wa kumng'oa Mtukufu FYI
Mtaji wa CCM,elimu siyo kipaumbele chao.Kwa hiyo bunge ndio maraisi wa nchi na raisi ndio mbunge? Kama ndilo linasimamia serikali lina uwezo wa kuajiri na kufukuza au kushusha au kupandisha cheo afisa wa serikali?
Kama elmu kingekuwa kipaumbele cha chadema mbowe form six failure division zero asingekuwa mwenyekiti chadema taifa mwenyekiti angekuwa profesa baregu au hata dokta Rwaitama.Nyie matapeli kipau mbele kingekuwa elimu saa hi mbowe angekuwa kavaa kaptula na shati ya shule akisomeshwa na chadema ili afanye mtihani wa marudio wa kidato cha sita1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
Bunge lina uwezo wa kumfukuza kazi rais sembuse hivyo ulivyovitaja hapoKama bunge kazi yake kusimamia Serikali je Lina uwezo wa kuajiri au kufukuza afisa wa serikali kumpunguza cheo au kupandisha cheo?
Chadema kama elimu kipaumbele mna mpango gani na Mbowe mwenye form six division zero? Charity begins at homeMtaji wa CCM,elimu siyo kipaumbele chao.
Kama elmu kingekuwa kipaumbele cha chadema mbowe form six failure division zero asingekuwa mwenyekiti chadema taifa mwenyekiti angekuwa profesa baregu au hata dokta Rwaitama.Nyie matapeli kipau mbele kingekuwa elimu saa hi mbowe angekuwa kavaa kaptula na shati ya shule akisomeshwa na chadema ili afanye mtihani wa marudio wa kidato cha sita
misconceptionKwa hiyo bunge ndio maraisi wa nchi na raisi ndio mbunge? Kama ndilo linasimamia serikali lina uwezo wa kuajiri na kufukuza au kushusha au kupandisha cheo afisa wa serikali?