Godbless Lema ndiye mwenyekiti ajaye wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Nimekuwa nafuatailia siasa za hiki Chama takribani miaka ishirini iliyopita. Kama sikosei hiki chama nafasi ya Mwenyekiti imewahi kuwa na wenyeviti watatu ambao wawili kati yao ni mtu na Mkwe wake yaani Freeman Mbowe na Mzee Edwin Mtei.

Kutokana na kelele nyingi saana toka ndani ya chama kutaka awepo mwenyekiti mwingine asietokana na uridhi wa kindugu, Mwenyekiti ambaye kwa sasa yupo mahabusu amekuwa na mawasiliano ya karibu saana na baadhi ya viongozi wa kanda wa chama kwa nia ya kuhakikisha ya kwamba mrithi wake anatokana na safu wa viongozi wa kanda waliopo. Msingi haswa wa kutaka viongozi wa kanda ni kutaka kuhakikisha ya kuwa mheshimiwa Lissu ambae ni Makamu Mwenyekiti hataweza kumrithi Mheshimiwa Mbowe kwenye uachaguzi ujao wa chama.

Wadadisi wa maswala ya uchaguzi wanaamini ya kwamba kwa viongozi wa Kanda waliopo kwa sasa, Mrithi halisi na ambae aataweza kuendeleza dhana ya chama (chgga kwanza) ni Mheshimiwa Godbless ambae amekuwa active saana kwenye mitandao ya kijamii kwa nia ya kuhakikisha ya kwamba anaonekana na vijana wa chama kuwa ni jasiri na SHUPAVU hivyo anaweza kuwa mtu sahihi kumrithi kaka mheshimwa Mbowe ambae ni binadmu yake LEMA.

Na

wasilisha wakuu

Nawasilisha wakuu
John Heche is my chairman.We cant let Lissu control Chadema by remote from Belgium.Popularity of Chadema is dropping day by day.Mbowe is in prison .2025 is not far away .Lissu should relinguish POWER not later
 
You must be very new to this political party
 
mbowe kweli chuma Mana marekani na washirika wake pamoja nakushiriki ktk ugaidi waziwaZi hawajawahi kutoa taarifa zake(walimtuma?)

Pamoja na mipango yooooote kuharibu malizake nakutaka kumununua ccm na dola wamechemka

Yuko gerezani bado mnampakazia uwongo kila sehemu anawashinda
 
Nimekuwa nafuatailia siasa za hiki Chama takribani miaka ishirini iliyopita. Kama sikosei hiki chama nafasi ya Mwenyekiti imewahi kuwa na wenyeviti watatu ambao wawili kati yao ni mtu na Mkwe wake yaani Freeman Mbowe na Mzee Edwin Mtei.

Kutokana na kelele nyingi saana toka ndani ya chama kutaka awepo mwenyekiti mwingine asietokana na uridhi wa kindugu, Mwenyekiti ambaye kwa sasa yupo mahabusu amekuwa na mawasiliano ya karibu saana na baadhi ya viongozi wa kanda wa chama kwa nia ya kuhakikisha ya kwamba mrithi wake anatokana na safu wa viongozi wa kanda waliopo. Msingi haswa wa kutaka viongozi wa kanda ni kutaka kuhakikisha ya kuwa mheshimiwa Lissu ambae ni Makamu Mwenyekiti hataweza kumrithi Mheshimiwa Mbowe kwenye uachaguzi ujao wa chama.

Wadadisi wa maswala ya uchaguzi wanaamini ya kwamba kwa viongozi wa Kanda waliopo kwa sasa, Mrithi halisi na ambae aataweza kuendeleza dhana ya chama (chgga kwanza) ni Mheshimiwa Godbless ambae amekuwa active saana kwenye mitandao ya kijamii kwa nia ya kuhakikisha ya kwamba anaonekana na vijana wa chama kuwa ni jasiri na SHUPAVU hivyo anaweza kuwa mtu sahihi kumrithi kaka mheshimwa Mbowe ambae ni binadmu yake LEMA.

Nawasilisha wakuu
Hivyo ni visaccoss vya wachaga linaenda kwisha. Wachaga na uongozi wapi na wapi ni wabinafsi sana, wabaguzi, wakabila wenye uroho wa madaraka. Angalia TLP, NCCR-Mageuzi na sasa CHADEMA. WACHAGA HAWAWEZI KUONGOZA TAASISI ZA KITAIFA KAMWE. Ndio maana mpaka leo hajatokea waziri mkuu mchaga na hatatokea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom