JeyKey.
Mkuu wangu Lema na Massawe ni ligi mbili tofauti kabisa.Massawe anacheza ligi daraja la kwanza kamwe hawezi cheza na Lema[siku hizi Massawe anacheza na maharamia ya kisomali].Kama kuna mwanajamvi aliyetoa data za Godbless Lema hakuna wa kunifikia hata kidogo wengi waliniambia namchukia/namwonea wivu na nk.Lema ni nyoka mdogo[tafuta tafsiri Mererani] usiwe mvivu jitahidi kidogo kupitia mabandiko ya Lema utajifunza mengi.Tuhuma za Zombe si zakupuuzwa ingawa kazitoa muda ushapita sana mlizoea kupuza niliyosema leo maumivu yanaanza taratibu na bado mtasikia mengi.Lema alikuwa akicheza ligi ya akina marehemu Babu [Mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha Mzee Kileo],marehemu Joseph [Macho man],Marehemu Ayub Masumai [Pank boy] na Chonjo family [wezi maarufu wa magari siku hizi wamestaafu gari lolote likiibiwa wa kwanza kukamatwa ni Chonjo family] na Imamu Sharifu huyu si mchezo aliwahi kuiba gari la mkuu wa mkoa kaachiwa katoka gerezani majuzi nusu ya ujana wake kautumia jela.Wote niliwataja hawako ligi ya Carlos aka Massawe mzee wa deal za kufa mtu muda mwingine nitarejea nikupatie visa vya Carlos.