mkuu hakuna mbunge ana hela wote wanategemea hela ya serikali naendapo halmashauri ingekuwa fiti wangeweza kujenga ila kwa kuwa tunaendesha siasa za chuki tutaendelea kusema ccm ccm na maendeleo hayatakuwepoHivi jk ametimiza ahadi ngapi kati ya alizoahidi? Watu wengine bana.
Mlima wa pili kwa urefu Duniani.......???
Au milima mingine imezama...!
usitukane mwerevu hapaswi kukashifu. toa mbadala hioutaiweka namba 2 kama unajua kaokota au kapata bahati nasibu huwezi kudai chochoteJe kama kaokota fedha au kapewa zawadi au ameshinda bahati na sibu. Acha ujinga. Mwenyewe ujui kujenga hoja
Hata kama elimu yake ni ndogo kama tunavyoaminishwa ila jamaa yupo smart kuliko hata hao wenye elimu kubwa hapa tz.....kasema kama kupigania haki ni fujo bs waendelee kumwita kinara wa fujo kwani hata nyerere wakt anapigania uhuru wazungu walisema anavunja sheria za nchi
Duh.. Ndugu yangu mbona unatumia lugha kali??
Sent from my EyePhone
Mtu mwenye akili zake hawezi akamsikiliza Lema.Atakuwa huyo mtu ana matatizo kuliko lema
Ahadi moja tu imemshinda,mpuuzi tu huyu
Vipi kuhusu kujenga Machinga Complex mbili alizoahidi kafikia wapi.
Uchizi wake ndio umesababisha idadi ya watalii kushuka.
Mtu mwenye akili zake hawezi akamsikiliza Lema.Atakuwa huyo mtu ana matatizo kuliko lema