Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,296
- 283,245
Uhakika ni kwamba ccm mwaka huu haitaambulia hata diwani mmoja Arusha , sasa huyo bilionea atapataje ubunge ? alishindwa lowasa ( mwenye hela kuliko yeyote ccm ! ) na mtu wake buriani unajua kilichompata , tunamsubiri huyo tajiri tutafune hela zake .