AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Hizi ni hadithi za Juma na ulele, Kamwe kamwe Kamanda Lema hawezi kuondolewa na CCM, kwanza ccm msahau kabisa jimbo la Arusha mjini milele.
kwa hiyo ccm mnategemea mabilionea ili kuokoa majimbo yaliyo chini ya ukombozi halisi wa wananchi? shame on you,ila elewa haki hainunuliwi :lol::lol::juggle:KUMEKUCHA! Duru za kisiasa katika Jimbo la Arusha Mjini zinaeleza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa mbunge anayeliongoza jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Jonathan Lema kuangushwa katika uchaguzi mkuu ujao baada ya mfanyabiashara mkubwa (bilionea) mmoja (jina kapuni) jijini hapa, kudaiwa kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili kuumaliza ufalme wa Lema
Wapiga kura mbalimbali wa jimbo hilo waliozungumza na Uwazi Mizengwe, wamebainisha hilo. Kuna wachache ambao wamesema Lema hawezi kungoka lakini wengi wao wamesema atangoka kutokana na nguvu kubwa ya ushawishi aliyonayo mfanyabiashara huyo ambaye atagombea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Lema hawezi kurudi bungeni tena maana jamaa (bilionea) kajipanga sana na ukizingatia ni mzawa wa Mtaa wa National Milling ambaye amewekeza katika biashara mbalimbali, anakubalika katika jamii kwani anajitoa sana, hakika atamngoa nakuhakikishia, alisema mkazi mmoja wa Arusha kwa sharti la kutoandikwa jina lake gazetini.
Mkazi mwingine wa jimbo hilo ambaye pia hakupenda jina lake liandikwe gazetini, alisema licha ya kufanikiwa kutimiza baadhi ya ahadi zake lakini Lema ameshindwa kutekeleza ahadi nyingi likiwemo suala la jengo la Machinga Complex ambalo aliahidi kulifanikisha.
Kuna mambo mengi tu ya msingi ambayo wapiga kura tumeona hajakamilisha hususan suala la Machinga Complex, bado ni kitendawili, sidhani kama atapenya uchaguzi ujao na ukizingatia kuna mfanyabiashara maarufu ambaye tayari ameonesha nia ya dhati ya kutaka kumaliza kero nyingi za Arusha Mjini, alisema mkazi huyo.
Kuhusu madai ya kutokamilisha ahadi ya kujenga jengo la Machinga Complex, kwa nyakati tofauti Lema amekuwa akikaririwa na vyombo vya habari akisema ameshindwa kuikamilisha ahadi hiyo kwa kile alichodai ni kuwekewa mizengwe na Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Mimi huwa nawashangaaga nyie binadam mnaposema jamaa kajipanga mno...ooh mara anahela sana...inamaana atahonga hizo hela kwa wapiga kura wote arusha?Hizo ni hela zakuhonga ili jina lake lipitishwe agombee..lazma tutofautishe hayo mambo mawili..kuhonga ili agombee na kuhonga wapiga kura....na kibaya zaidi wapiga kura wa Arusha hawaongeki sasa.!!!
mkuu soma maandiko ukutani arusha hawahitaji bilionea ili awe mbunge wamechoka chama cha mapinduzi ,arusha weka bilionea wa ccm na jiwe watachagua jiwe liwe chademA SI VINGINEVYO.KUMEKUCHA! Duru za kisiasa katika Jimbo la Arusha Mjini zinaeleza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa mbunge anayeliongoza jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Jonathan Lema kuangushwa katika uchaguzi mkuu ujao baada ya mfanyabiashara mkubwa (bilionea) mmoja (jina kapuni) jijini hapa, kudaiwa kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili kuumaliza ufalme wa Lema
Wapiga kura mbalimbali wa jimbo hilo waliozungumza na Uwazi Mizengwe, wamebainisha hilo. Kuna wachache ambao wamesema Lema hawezi kungoka lakini wengi wao wamesema atangoka kutokana na nguvu kubwa ya ushawishi aliyonayo mfanyabiashara huyo ambaye atagombea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Lema hawezi kurudi bungeni tena maana jamaa (bilionea) kajipanga sana na ukizingatia ni mzawa wa Mtaa wa National Milling ambaye amewekeza katika biashara mbalimbali, anakubalika katika jamii kwani anajitoa sana, hakika atamngoa nakuhakikishia, alisema mkazi mmoja wa Arusha kwa sharti la kutoandikwa jina lake gazetini.
Mkazi mwingine wa jimbo hilo ambaye pia hakupenda jina lake liandikwe gazetini, alisema licha ya kufanikiwa kutimiza baadhi ya ahadi zake lakini Lema ameshindwa kutekeleza ahadi nyingi likiwemo suala la jengo la Machinga Complex ambalo aliahidi kulifanikisha.
Kuna mambo mengi tu ya msingi ambayo wapiga kura tumeona hajakamilisha hususan suala la Machinga Complex, bado ni kitendawili, sidhani kama atapenya uchaguzi ujao na ukizingatia kuna mfanyabiashara maarufu ambaye tayari ameonesha nia ya dhati ya kutaka kumaliza kero nyingi za Arusha Mjini, alisema mkazi huyo.
Kuhusu madai ya kutokamilisha ahadi ya kujenga jengo la Machinga Complex, kwa nyakati tofauti Lema amekuwa akikaririwa na vyombo vya habari akisema ameshindwa kuikamilisha ahadi hiyo kwa kile alichodai ni kuwekewa mizengwe na Halmashauri ya Jiji la Arusha.
bola jimbo lilud kwa mzawa ni aibu kwa jiji kama la arusha kuongozwa na mtu wa kuja miaka yote inamaana hakuna mzawa wakuwezakuongoza Arusha mpaka mumpe huyo mwizi wa magali, angalieni sasa tangu mumchague hana cha maana anacho fanya zaid ya maandamano
Hizi ni hadithi za Juma na ulele, Kamwe kamwe Kamanda Lema hawezi kuondolewa na CCM, kwanza ccm msahau kabisa jimbo la Arusha mjini milele.
bola jimbo lilud kwa mzawa ni aibu kwa jiji kama la arusha kuongozwa na mtu wa kuja miaka yote inamaana hakuna mzawa wakuwezakuongoza Arusha mpaka mumpe huyo mwizi wa magali, angalieni sasa tangu mumchague hana cha maana anacho fanya zaid ya maandamano
Amka uendelee na mishe zako, au lala tena uote ndoto zingine!