Godbless Lema: Kuna siku mtavililia vyama vya Upinzani viwasemee hamtavipata

Lema asilalamike sana hata kama malalamiko yake ni ya msingi. Wao ndio walimpokea Lowassa na kuruhusu Lowassa kuwafundisha siasa za kikondoo. Isingekuwa Lowassa kuwafundisha siasa za kikondoo alizozipa jina la siasa za kistaarabu leo hii tusingeona mabox ya kura kutolewa vituoni kwenda kujazwa kura za ccm na watu wakawa kimya tu. Wangalau sasa Lissu anaanza tena kuibua zile siasa zisizo za woga. Ccm chini ya mwenyekiti huyo kuwafanyia siasa za kistaarabu ni upunguani.
 
Anaandika GODBLESS J. LEMA (MB) Arusha

Vuta Picha Vyama vyote vikafutwa katika kipindi hiki kikabaki CCM tu chama ulichonacho wewe.

Then hao uliokua unawaona hawafai akina Mbowe, Mdee, Heche, Nassary, Lema n.k wakaona ni UJINGA KUFA unatetea watu wasiojua kujisaidia wenyewe. Wakajiuliza Kwani tunakwama wapi? Acha na sisi tukaungane na CCM mtesi wao na sisi tuishi vizuri tu.

Then Wabunge wote katika Majimbo yote wakatokea CCM kila kitu kikaamuliwa ndani ya Chama.

Mbowe akasaidiwa kujenga Bilcanas mpya maisha yakaendelea kama tunavyoona watu wanasamehewa kubomolewa nyumba zao wakijiunga na CCM.

Mbowe, Mnyika, Lijualikali tayari wanatambulika na system ya Uongozi hapa nchini. Kama DC wa Dodoma anaejitambua kama karai amepata vipi hawa wenye makarai yao watakosa?

Then fikiria wewe Mtanzania wa kawaida utaishije na atakusaidia nani tena kuhoja kuhusu pesa yako?

Kama walipokuwepo watu wa kuhoji pesa yako bado walikua watu wanakula kwa kujificha japo kweli zinaliwa. Vipi wakikosekana?

Hivi mshawahi kufikiria madhara ya hizi Juhudi za Kudhoofisha Upinzani au huwa mnashangilia tu?

Mtaishi kama "Mbwa Koko" na hutatambulika tena kama mfuasi wa CCM watatambuana viongozi kwa viongozi. Who is going to deal with you?

Leo Viongozi wa CCM wanawanyenyekea kidogo wananchi ni kwa sababu wanajua kuna Uchaguzi awamu ijayo.... Na Pengine Jimbo likaenda Upinzani. Ikibaki CCM pekeake nani atakunyenyekea wewe? Nani atakuja kujua hata unaishije?

Mshafikiria?

Hamtamuona Polepole tena! Anakuja kueneza nini? Watakua ofisini tu wakilipana mishahara. Watawachagulia kila kitu na hakuna cha kuwafanya.

Mshafikiria?

Ni ngumu kuelewa kwa kuwa haijatokea na mnaangalia leo tu.

Huwa natamani hii hali itokee hata kwa muda wa mwezi mmoja tu.

Mtakopwa hadi mishahara mtasema wapi? Nani atawapigania kipindi hicho hata kina Lissu wanakula mema ya nchi tu.

Hicho ndo kipindi hata ajira mpya kuna zingine itabidi wapate kwanza watoto wa viongozi na wengine mtapata zitakazobakia.

Hicho ndo kipindi mtapigwa hadi fimbo makazini, nadhani Dalili za Makofi zimeanza na hakuna wa kuwatetea.... Ukienda kushtaki makahamani unawakuta wale wale. Unapeleka kesi na unafungwa wewe. Wa kupiga kelele itakua ni familia yako tu wengine wote wanaogopa.

Akina Mbowe kipindi hicho watakua wanakula kuku kwa mirija tu.

Mtawaita na hawataitika tena. Ipo sababu kubwa sana ya Kuilinda Demokrasia na vyama Vya Upinzani. Walioianzisha na Kuitetea kwa Damu hawakua wajinga they focused on their future.

Hatubembelezani hapa kuilinda demokrasia ya kweli maana kesho ni yetu sote.

Kila Unachotaka kukishabikia kipime kwanza madhara yake ya baadae.

Watu mnatamani vyama vya Upinzani vyote vife au vifutwe ila ipo siku mtavililia na hamtavipata.

Tafakari

Siku njema
Mmmh maneno mazito, Mungu tusaidie tuvuke salama!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lema asilalamike sana hata kama malalamiko yake ni ya msingi. Wao ndio walimpokea Lowassa na kuruhusu Lowassa kuwafundisha siasa za kikondoo. Isingekuwa Lowassa kuwafundisha siasa za kikondoo alizozipa jina la siasa za kistaarabu leo hii tusingeona mabox ya kura kutolewa vituoni kwenda kujazwa kura za ccm na watu wakawa kimya tu. Wangalau sasa Lissu anaanza tena kuibua zile siasa zisizo za woga. Ccm chini ya mwenyekiti huyo kuwafanyia siasa za kistaarabu ni upunguani.
Mkuu kuna akina sisi tuliyaona hayo mapema.

Ukweli mchungu kwa UKAWA na upinzani, Lowassa hawezi kutuvusha - JamiiForums
 
Anaandika GODBLESS J. LEMA (MB) Arusha

Vuta Picha Vyama vyote vikafutwa katika kipindi hiki kikabaki CCM tu chama ulichonacho wewe.

Then hao uliokua unawaona hawafai akina Mbowe, Mdee, Heche, Nassary, Lema n.k wakaona ni UJINGA KUFA unatetea watu wasiojua kujisaidia wenyewe. Wakajiuliza Kwani tunakwama wapi? Acha na sisi tukaungane na CCM mtesi wao na sisi tuishi vizuri tu.

Then Wabunge wote katika Majimbo yote wakatokea CCM kila kitu kikaamuliwa ndani ya Chama.

Mbowe akasaidiwa kujenga Bilcanas mpya maisha yakaendelea kama tunavyoona watu wanasamehewa kubomolewa nyumba zao wakijiunga na CCM.

Mbowe, Mnyika, Lijualikali tayari wanatambulika na system ya Uongozi hapa nchini. Kama DC wa Dodoma anaejitambua kama karai amepata vipi hawa wenye makarai yao watakosa?

Then fikiria wewe Mtanzania wa kawaida utaishije na atakusaidia nani tena kuhoja kuhusu pesa yako?

Kama walipokuwepo watu wa kuhoji pesa yako bado walikua watu wanakula kwa kujificha japo kweli zinaliwa. Vipi wakikosekana?

Hivi mshawahi kufikiria madhara ya hizi Juhudi za Kudhoofisha Upinzani au huwa mnashangilia tu?

Mtaishi kama "Mbwa Koko" na hutatambulika tena kama mfuasi wa CCM watatambuana viongozi kwa viongozi. Who is going to deal with you?

Leo Viongozi wa CCM wanawanyenyekea kidogo wananchi ni kwa sababu wanajua kuna Uchaguzi awamu ijayo.... Na Pengine Jimbo likaenda Upinzani. Ikibaki CCM pekeake nani atakunyenyekea wewe? Nani atakuja kujua hata unaishije?

Mshafikiria?

Hamtamuona Polepole tena! Anakuja kueneza nini? Watakua ofisini tu wakilipana mishahara. Watawachagulia kila kitu na hakuna cha kuwafanya.

Mshafikiria?

Ni ngumu kuelewa kwa kuwa haijatokea na mnaangalia leo tu.

Huwa natamani hii hali itokee hata kwa muda wa mwezi mmoja tu.

Mtakopwa hadi mishahara mtasema wapi? Nani atawapigania kipindi hicho hata kina Lissu wanakula mema ya nchi tu.

Hicho ndo kipindi hata ajira mpya kuna zingine itabidi wapate kwanza watoto wa viongozi na wengine mtapata zitakazobakia.

Hicho ndo kipindi mtapigwa hadi fimbo makazini, nadhani Dalili za Makofi zimeanza na hakuna wa kuwatetea.... Ukienda kushtaki makahamani unawakuta wale wale. Unapeleka kesi na unafungwa wewe. Wa kupiga kelele itakua ni familia yako tu wengine wote wanaogopa.

Akina Mbowe kipindi hicho watakua wanakula kuku kwa mirija tu.

Mtawaita na hawataitika tena. Ipo sababu kubwa sana ya Kuilinda Demokrasia na vyama Vya Upinzani. Walioianzisha na Kuitetea kwa Damu hawakua wajinga they focused on their future.

Hatubembelezani hapa kuilinda demokrasia ya kweli maana kesho ni yetu sote.

Kila Unachotaka kukishabikia kipime kwanza madhara yake ya baadae.

Watu mnatamani vyama vya Upinzani vyote vife au vifutwe ila ipo siku mtavililia na hamtavipata.

Tafakari

Siku njema
Nimekiona kitu kimoja tuu.
Lema ameshaanza kutamani kula maisha matamu ya serikali na chama tawala ccm.
Anatamani naye ale bata kama Odinga anavokula bata Ikulu kwa Uhuru Kenyatta huko Kenya.
 
Acha uongo Lema mbona ruzuku mnakula wewe mbowe na mdee lakini huku Mwanza hakuna??
 
havikuwepo na nchi ilikwenda na kimsingi watanzania wengi wakataa vyama hivi.ccm ikavileta na kimsingi vyama hivi ndio vimeleta chiki kati ya watanzania
Kabla ya vyama vingi,kulijuwa na majaribio 8 ya kuipindua serikali(kuasi)!Baada ya mfumo wa vyama vingi hakuna hata jaribio moja ambalo limewahi kutokea la kuipindua serikali!
Fikiri ukiwa umezirudisha akili kichwani kutoka mfukoni ulipoziweka!
 
Hawa baada ya kuona kadri miaka inavyozidi kwenda kila chaguzi asilimia zinapanda tu
CCM wanajua wanaelekea ukingoni
Ndomana sahv wanatumia dola zaidi kuvikandamiza vyama vya upinzani

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lema amesahau wakati kukiwa na chama kimoja kulikuwa na majaribio takribani nane ya kupindua serikali ?

Hata wote leo mkihamia ccm bado watakuwepo tu wengine wasio penda upuuzi na watafanya jambo

Ila upande mwingine Watanzania sijui ni upole au ujinga ndio umetujaa kuna vitu tunaburuzwa tu na hatufanyi lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lema, upinzani mmeudhoofisha wenyewe. Haya yote ni matokeo ya 2015. Mlikula yamini lakini itawatafuna hadi mtubu na kuanza uelekeo mpya. Tulisalitiana kishamba mno na mnafikiri ile dhambi itafutika kirahisi.

Mnakumbuka ule "utafiti" wenu kabla ya kumpokea EL mliokuwa mnautumia kumchinja Dr Slaa? Hivi mnafikiri zile issue zinakufa kirahisi tu?

Bora ujengwe upya upinzani imara hata kama itagharimu miaka 50 ijayo kuliko huu wa sasa ambao hata sasa bado mnavizia makapi ya MaCCM yagombee kupitia chama chenu. Badilikeni nyie kwanza kabla ya kuisema CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom