Godbless Lema: Kuna siku mtavililia vyama vya Upinzani viwasemee hamtavipata

Watu walipania CHADEMA wakidhani inawatetea, ghafal bin ghafla 2015 wanakabadili gia angani na kugawana noti. Leo Lema bila haya anaongelea CHADEMA wakati anajua moyoni alivyocheza dili. Nakusalimu Dr Slaa.
Unaendeshwa na hisia kuliko ukweli wenyewe.
 
Umeonyesha brainless ya hali ya juu mkuu. Hivi umewahi fundishwa shuleni kuhusu kuwa na DIFFERENT FRAME OF REFERENCE as one of the characteristics of human beings?

SIWEZI KUWA BRAINLESS KAMA WEWE ULIESOMA CHUO CHA KATA, NDIO MAANA WEW UNAKUWA NA ATTITUDE YA KUJIPENDEKEZA YA KUTETEA UPUUZI.SIKATAI HICHO ULICHOKISEMA ILA HICHO UNACHOTOFAUTIANA NA WENZAKO KINAKUWEKA KWENYE KUNDI FULANI.NDIO MAANA NIKAKWAMBIA KWA MAWAZO YALE HUWEZI KUWA JOGOO DUME BALI NI MTETEA KWA SABABU MAWAZO YAKO NI VERY WOMANISH.
 
Huyu mvuta bangi tu,aaache nchi irudishe nidhamu iliopotea
Anaandika GODBLESS J. LEMA (MB) Arusha

Vuta Picha Vyama vyote vikafutwa katika kipindi hiki kikabaki CCM tu chama ulichonacho wewe.

Then hao uliokua unawaona hawafai akina Mbowe, Mdee, Heche, Nassary, Lema n.k wakaona ni UJINGA KUFA unatetea watu wasiojua kujisaidia wenyewe. Wakajiuliza Kwani tunakwama wapi? Acha na sisi tukaungane na CCM mtesi wao na sisi tuishi vizuri tu.

Then Wabunge wote katika Majimbo yote wakatokea CCM kila kitu kikaamuliwa ndani ya Chama.

Mbowe akasaidiwa kujenga Bilcanas mpya maisha yakaendelea kama tunavyoona watu wanasamehewa kubomolewa nyumba zao wakijiunga na CCM.

Mbowe, Mnyika, Lijualikali tayari wanatambulika na system ya Uongozi hapa nchini. Kama DC wa Dodoma anaejitambua kama karai amepata vipi hawa wenye makarai yao watakosa?

Then fikiria wewe Mtanzania wa kawaida utaishije na atakusaidia nani tena kuhoja kuhusu pesa yako?

Kama walipokuwepo watu wa kuhoji pesa yako bado walikua watu wanakula kwa kujificha japo kweli zinaliwa. Vipi wakikosekana?

Hivi mshawahi kufikiria madhara ya hizi Juhudi za Kudhoofisha Upinzani au huwa mnashangilia tu?

Mtaishi kama "Mbwa Koko" na hutatambulika tena kama mfuasi wa CCM watatambuana viongozi kwa viongozi. Who is going to deal with you?

Leo Viongozi wa CCM wanawanyenyekea kidogo wananchi ni kwa sababu wanajua kuna Uchaguzi awamu ijayo.... Na Pengine Jimbo likaenda Upinzani. Ikibaki CCM pekeake nani atakunyenyekea wewe? Nani atakuja kujua hata unaishije?

Mshafikiria?

Hamtamuona Polepole tena! Anakuja kueneza nini? Watakua ofisini tu wakilipana mishahara. Watawachagulia kila kitu na hakuna cha kuwafanya.

Mshafikiria?

Ni ngumu kuelewa kwa kuwa haijatokea na mnaangalia leo tu.

Huwa natamani hii hali itokee hata kwa muda wa mwezi mmoja tu.

Mtakopwa hadi mishahara mtasema wapi? Nani atawapigania kipindi hicho hata kina Lissu wanakula mema ya nchi tu.

Hicho ndo kipindi hata ajira mpya kuna zingine itabidi wapate kwanza watoto wa viongozi na wengine mtapata zitakazobakia.

Hicho ndo kipindi mtapigwa hadi fimbo makazini, nadhani Dalili za Makofi zimeanza na hakuna wa kuwatetea.... Ukienda kushtaki makahamani unawakuta wale wale. Unapeleka kesi na unafungwa wewe. Wa kupiga kelele itakua ni familia yako tu wengine wote wanaogopa.

Akina Mbowe kipindi hicho watakua wanakula kuku kwa mirija tu.

Mtawaita na hawataitika tena. Ipo sababu kubwa sana ya Kuilinda Demokrasia na vyama Vya Upinzani. Walioianzisha na Kuitetea kwa Damu hawakua wajinga they focused on their future.

Hatubembelezani hapa kuilinda demokrasia ya kweli maana kesho ni yetu sote.

Kila Unachotaka kukishabikia kipime kwanza madhara yake ya baadae.

Watu mnatamani vyama vya Upinzani vyote vife au vifutwe ila ipo siku mtavililia na hamtavipata.

Tafakari

Siku njema
 
LEMA,sio ninyi upinzani mliochaguliwa na wananchi kwa jasho na damu “”LEO MNAUNGA JUHUDI ZA MH ,wananchi nao wanakosea wapi kama watawapotezea #upinzani legelege!!,hamna mikakati ya kushika dola bora kumekucha tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Ruzuku mnayoiponda ni hela zetu, viti maalum mnavyohongana ni HELA zetu...
Turuhusuni tuhoji hayo pia. Tukiridhika upinzani mnaoendesha una better standard kuliko zile standard za CCM...
hapo ndipo tutajua mpo kutuwakilisha.
Lakini upinzani huu wa kipumbavu, ndani ya chama mnaoneana na kunyanyasana wenyewe, hamna demokrasia, mnahongana viti maalum.
Hebu acheni kutudharau.
Watawaua ya mkono wale ambao ni waganga na wanachukua na ccm
Tunaotaka demokrasia ya kweli tunaomba upinzani huu ice. Tuanze mwanzo
 
Back
Top Bottom