Godbless Lema kufanya mkutano na Waandishi wa Habari Januari 14, 2025. Je, atamuunga mkono Tundu Lissu?

Godbless Lema kufanya mkutano na Waandishi wa Habari Januari 14, 2025. Je, atamuunga mkono Tundu Lissu?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Godbless Lema amepanga kuzungumza na Waandishi wa Habari Januari 14, 2025 ifikapo saa 5:00 Asubuhi Seashells Millennium Hotel.

Je, atamuunga mkono Tundu Lissu?
1736761339550.jpeg
 
Nitamshangaa Sana kama atamuunga mikono Lissu
 
Kwa jinsi alivo mcha Mungu, sitegemei kama Lema anaweza kumuunga mkono Mmachame mwenzie. Mbowe kaharibu legacy yake vibaya sana; anaonekana ana utulivu aongeapo lakini wakati haupo upande wake. Ni ngumu sana kwa mcha Mungu yeyote kwasasa kumuunga mkono Mbowe, ni ngumu sana pia kwa mcha Mungu kuiunga mkono ccm. Narudia, mcha Mungu na sio mwana DINI
 
Back
Top Bottom