Godbless Lema kuanza maombi ya kufunga na kuomba kwa siku saba

pili mkanganyiko wa hukumu na vifungu ni kweli upo lakini lema alimdhalilisha mgombea wa ccm.
Hii itakuwa fundisho wagombea wanapopanda jukwani watumie muda huo kueleza sera zao kuliko kuwachambua wenzao hadi wanakosa heshima mbele wa wananch
 
wabunge ni viongozi wa wananchi wanapaswa kupima wanayoyasema.pili lema kwa kiwango cha uwezo wa akili yake ubunge ni cheo kikubwa mno,pengine chadema ifikirie kumpa udiwani,huwezi kumlinganisha na mjembe ya cdm kama zito,slaa,mnyika,nassarii,lissu etc.lema ni mzigo kwa cdm,hafai kuwa kiongozi
 
Naona maombi ni siri binafsi ya mtu na siyo kutangaza hadharani.

Natoa angalizo kwa CDM. Kwanini mnaruhusu majukwaa yenu ya siasa kuongelea habari za maombi? Kama ni kufungua kwa dua sawa ila mtu kuitisha maombi? Anatoa picha gani kwa wanachama na ambao si wanachama?

Hebu geukeni kidogo - teueni na wale wa dini nyingine and stop keeping quiet when one of ur leaders talks abt religion, siasa siyo dini...na msigeuze dini kuwa mtaji wenu. La sivyo itakula kwenu...mnaelekea walipokuwa CUF. A good strategist hahitaji kutafuta wapi pa kuwapiga, hapo hapo kwenye udhaifu wenu.

Don't give me ur list of MPs sijui viongozi gani mnao wa dini gani, am not interested.
 
Sasa ndio nimeamini chadema nichama cha udini pamoja na viongozi wao wote ,hiki chama nihatari sana maslahi ya taifa letu

Huelewi nini maana ya udini wewe,,, Unachanganya mtu kuamini kwa mungu na udini.. Bila shaka wewe ni mpagani na Fisadi/mwizi wa rasilimali za TZ
 
Uchamungu upo moyoni mwa mtu sio kutangaza kwa UMMA!

kwa wakristo huwa inakubalika kushirikisha watu wengine ktk maombi anayokuwa nayo mtu ili nao wamsaidie muhusika kuyapeleka mbele za Mwenyezi Mungu. hata hivyo kwa mujibu wa maandiko matakatifu yatupasa kuomba Mungu kwa shukrani na si kumuomba alipize kisasi. Haki mbinguni, duniani sheria. ni vema CDM wakaendelea na tamko lao la kukata rufaa, kwa utaratibu wa kawaida uliowekwa kwa mujibu wa sheria ili kupata haki yao kwa mujibu wa sheria.
 
Sasa ndio nimeamini chadema nichama cha udini pamoja na viongozi wao wote ,hiki chama nihatari sana maslahi ya taifa letu

sverige,inaonekana unamatizo makubwa kichwani kama sio hivyo unachuki binafsi na chadema,hivi unajua maana ya udini wewe? Hivi kwenye hilo la Lema kuomba watu wasali na kuomba kuna tofautti gani na maombi yanayofanywa kuombea amani ya taifa? JARIBU KUTUMIA UBONGO WAKO.

Pia nina uhakika umechangia uzi huu bila hata kusoma,nyie ndio mnaoingia mikataba ya kibwege kwa uvivu wenu wa kusoma. Mnatutia hasara Watanzania. Nimewaza tu kwamba wewe mvivu kusoma na kuelewa kiasi hicho hao watoto wako sijui wakoje.
 
Yani kabisa,sio udini tu,ukabila pia.hawana busara kabisa hawa watu.wananchi wanatakiwa kuwa na umakini wa hali ya juu ktk kuchagua viongozi wao.mi kuna sehemu naenda nakuta kabisa wanaongea kichaga.utafikiri tanzania ni ya wachaga.

Hata akinazito, wenje, mnyika, lisu nk. Wanaongea kichaga? Unataka mchaga aongee kihaya?
 
Naona maombi ni siri binafsi ya mtu na siyo kutangaza hadharani.

Natoa angalizo kwa CDM. Kwanini mnaruhusu majukwaa yenu ya siasa kuongelea habari za maombi? Kama ni kufungua kwa dua sawa ila mtu kuitisha maombi? Anatoa picha gani kwa wanachama na ambao si wanachama?

Hebu geukeni kidogo - teueni na wale wa dini nyingine and stop keeping quiet when one of ur leaders talks abt religion, siasa siyo dini...na msigeuze dini kuwa mtaji wenu. La sivyo itakula kwenu...mnaelekea walipokuwa CUF. A good strategist hahitaji kutafuta wapi pa kuwapiga, hapo hapo kwenye udhaifu wenu.

Don't give me ur list of MPs sijui viongozi gani mnao wa dini gani, am not interested.

Kuomba na kufunga kwa muumini wa dini yoyote ni lazima, siyo ombi na siyo siri. Nakumbuka kwenye biblia yupo mfalme moja aliwaambia watu wake wakajivike nguo ya magunia, wamtumaini mungu wa Danieli. Wasali na kufunga. Tatizo nyie magamba mkisikia habari za Mungu mnatetemeka sana.
 
Magamba semeni, msemavyo, Mungu kwanza, sala na kufunga ni fimbo yenu magamba. 2015 is not far, be prepared to be opposition party.
 
Back
Top Bottom