Godbless Lema kaza moyo, wewe ni Mandela wa Tanzania

Takwimu zinaonyesha katika kila wanafunzi 10 waliofail masomo wanafunzi 8 walisema wamefail kwa sababu mwalimu alikuwa anafundsha yale ayatakayo yeye. Na wanafunzi 2 hawakuwa na akili tu so mwalimu mzuri ni yule anaefundisha kwa kufata wanafunzi wanataka kufundishwa nini si yeye anataka nini

So kunauwezekano Mwalimu wa wanaufipa anafundisha yale anayotaka yeye ndio maana kila siku mnafail
.....
.....Kigoma Dubai....kwikwikwi
 
Ni dhambi kubwa kumchafua Mzee Nelson Mandela kwa jina la Godbless Lema lenye kila aina ya chembechembe za ukosefu wa maadili kwa mgongo wa demokrasia uchwara.
Tunajua maana ya Nelson Mandela kwa mapana na marefu lakini pia tunajua maana ya Godbless Lema.
Ni watu wawili tofauti sana.
Hayati Mandela ni mpigania uhuru na Lema ni mpinga uhuru.
 
Ni nchini Tanzania pekee ambapo siasa ni uadui ,yaani ukiwa mpinzani basi hii ni tiketi ya kuwa adui wa serikali.

Hata radi na ngurumo huisha sembuse serikali iliyo chini ya mwanadamu ambae hajui lini anapotea.
Mkuu umekosea, huyo Jamaa hatakufa, bali ataishi milele, ndo maana anafanya anayoyafanya.
 
Ukiwa bado unaendelea kukaa ndani yaani rumande tunakuomba ujue kuwa mioyo ya mamilioni ya watanzania ipo nawe hadi pale utakapo kuwa huru jipe moyo kwani hata Nelson Mandela aliteseka lkn mwisho wa siku alikuwa huru.

88199a78a830b9b967c0738f1d9b41ef.jpg
Kwa hiyo bwana mdogo lema anapambana na Makaburu
 
Aminiaaaaaaaa
Nabii Lema hawezi kupotezwa kwa kutegemea polisi kwa amri za viongozi wanaotegemea kudra za wanadamu ( viongozi wa kuteuliwa ) njia pekee ya kumpoteza Mh Mtume Lema ni kwa ccm kuazima popote mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja kwenye majukwaa ya kisiasa , mtu mwenye uwezo wa kushawishi wapiga kura wa Arusha mjini , vitisho au mauaji havitaweza kumng'oa Lema Arusha .

Lema aliingia Bungeni kisiasa na ataondolewa kisiasa tu , njia nyingine ni kupoteza muda na kutafuta sifa za muda mfupi sana .
 
Mkuu nasikia kuna bwana maukubwa mtawala ndiye anataka kugombea ubunge wa Atown baada ya kumdhoofisha Mh Lema
 
LEMA atatoka akiwa anawaka kama dhahabu!

Anapitishwa kwenye moto kwa mpango wa Mungu!

Hizi ni sababu maalumu tu, ili agizo la Mungu litimie.

Hata Yusufu alipoota ndoto, alipowahadithia ndugu zake, walimshambulia sana.
 
Back
Top Bottom