Wanasahau kuwa mungu ni wa viumbe woteNi nchini Tanzania pekee ambapo siasa ni uadui ,yaani ukiwa mpinzani basi hii ni tiketi ya kuwa adui wa serikali.
Hata radi na ngurumo huisha sembuse serikali iliyo chini ya mwanadamu ambae hajui lini anapotea.
Lema anapigania haki za watanzania wote bila kujali rangi,kabila wala dini ya mtuNi aibu kumfananisha Nelson Mandela na Lema , Nelson Mandela alikuwa anapigania usawa wa watu weusi dhidi ya watu weupe niambie Lema anapigania nini?
Usemayo ni kweli tupu lkn yote yanamwishoNaamini huko aliko gerezani atakuwa anasikia juu ya habari za ukame na njaa na atakuwa anaiombea hii hali isiwe mbaya kupitiliza, nasi tumuombee awe imara katika kipindi hiki kilichojaa mateso na majaribu makubwa sana!
.....Lema anapigania haki za watanzania wote bila kujali rangi,kabila wala dini ya mtu
Lema ni mtetezi wa haki za watanzania woteLema na mandela...mnafananisha kwa lipi mkuu??
Lema kafungwa kwa utabili wake yaan kama nabiii
Mandela alifungwa kwa kupigania wananch wake wasibaguliwe na wawe huru
Nabii.vs.mwanaharakat mpambananaji
....Naamini huko aliko gerezani atakuwa anasikia juu ya habari za ukame na njaa na atakuwa anaiombea hii hali isiwe mbaya kupitiliza, nasi tumuombee awe imara katika kipindi hiki kilichojaa mateso na majaribu makubwa sana!
True!Lema ni mtetezi wa haki za watanzania wote
Neno!....
....anaishi gerezani lakini yupo ndani ya mioyo ya Watanzania
Ni nchini Tanzania pekee ambapo siasa ni uadui ,yaani ukiwa mpinzani basi hii ni tiketi ya kuwa adui wa serikali.
Hata radi na ngurumo huisha sembuse serikali iliyo chini ya mwanadamu ambae hajui lini anapotea.
Kula5.....
.....Godbless Madiba Nelson Lema