Godbless Lema kaza moyo, wewe ni Mandela wa Tanzania

Dogo lazima ujue kuwa hakuna anaye ijua kesho
Ni kweli lkn jela uende kwa kutafuta pesa hata familia yako itakuona shujaa sio uende jela kiboya km lema hata watoto wake watashindwa kuhadithia wakikua wataona aibu tu.
 
Ni aibu kumfananisha Nelson Mandela na Lema , Nelson Mandela alikuwa anapigania usawa wa watu weusi dhidi ya watu weupe niambie Lema anapigania nini?

Tofautisha Mwanasiasa, Mwanaharakati, Mpigania haki na Nabii

Nelson Mandela alikuwa mpigania Haki hakuwa mwanasiasa wala mwanaharakati

Nelson Mandela amefanya siasa baada ya haki kupatikana na kwa vile hakuwa mwanasisa alitawala kipindi kimoja tu 10 May 1994 – 14 June 1999 japo angetaka angetawala hata zaidi ya miaka 10

Lema ni mwanasisa lakini anataka kufanya Harakati jambo ambalo aliwezekani watu wanaanzaga Harakati ndio wanakuja siasa sasa lema anataka kuanza siasa then harakati ni sawa na kinavyoanza kifo ndio kinakuja uzima wa milele sasa Lema anataka kuanza na uzima wa milele ndio afate kifo kitu ambacho hakiwezekani kwa dunia ya leo

Bt huwezi kumfananisha Nelson Mandela na kiongozi yeyote wa Africa hata Nyerere kwa
Nelson Mandela ni mwanafunzi tu
Hongera sana kwa Maelezo thabiti Mkuu.

Unaposema huwezi Kumfananisha Nelson Mandela na kiongozi yeyote wa Afrika na hata Nyerere una maana gani/ipi?.Una maana kuwa aliyeifanyia kazi kubwa bara la Afrika au Aliyepigania ubaguzi wa rangi Afrika kusini?.

Unaweza kutueleza kuwa Umetumia kipimo gani kulithibitisha hilo?.

Unawafahamu Political Thinkers wa Afrika ni kina nani?.

Unafahamu kuwa unapozungumzia African Politics,African Economy,African Education nk Unawazungumzia kina nani?.

Unafahamu kuwa Nyerere alipigania Ukombozi na Uhuru wa Afrika karibu nchi zote ilhali Nelson Mandela aliipigania Afrika kusini pekee?.

Naomba Ndg,tena kwa heshima na taadhima UACHE KUPOTOSHA HISTORIA kwa makusudi.Kila kiongozi katika Nafasi yake mpe heshima yake lakini siyo Uthubutu Kumlinganisha Nelson Mandela na Mwl Nyerere.

R.I.P Mwl Julius K Nyerere & Nelson R Mandela.
 
Lema na mandela...mnafananisha kwa lipi mkuu??

Lema kafungwa kwa utabili wake yaan kama nabiii
Mandela alifungwa kwa kupigania wananch wake wasibaguliwe na wawe huru

Nabii.vs.mwanaharakat mpambananaji
Thanks for that.

Tusaidie kutofautisha kati ya hayo Maneno mawili uliuoyatumia kuwatofautishia hao viongozi.

Mwanaharakati ni nani?,Pia mpambaaji ni nani?.

Kwa kufanya hivyo utakuwa umetusaidia kwa kiasi kikubwa mno sie akina kabwela.
 
Kamanda Godbless Lema aanze mgomo wa kula mpaka apewe dhamana kwa sababu hana kosa lolote lile la kukataliwa dhamana. Ni chuki tu za kutisha za huyu dikteta uchwara ndizo zinamweka ndani Kamanda kwa mwezi wa nne sasa.

Alutta continua! continua!
 
Teh teh eti Mandela! Yaani hapo ndo ameshapotezwa, akitoka huko atakuwa mpole tu, na ubunge 2020 hapati tena!
 
Ni aibu kumfananisha Nelson Mandela na Lema , Nelson Mandela alikuwa anapigania usawa wa watu weusi dhidi ya watu weupe niambie Lema anapigania nini?

Tofautisha Mwanasiasa, Mwanaharakati, Mpigania haki na Nabii

Nelson Mandela alikuwa mpigania Haki hakuwa mwanasiasa wala mwanaharakati

Nelson Mandela amefanya siasa baada ya haki kupatikana na kwa vile hakuwa mwanasisa alitawala kipindi kimoja tu 10 May 1994 – 14 June 1999 japo angetaka angetawala hata zaidi ya miaka 10

Lema ni mwanasisa lakini anataka kufanya Harakati jambo ambalo aliwezekani watu wanaanzaga Harakati ndio wanakuja siasa sasa lema anataka kuanza siasa then harakati ni sawa na kinavyoanza kifo ndio kinakuja uzima wa milele sasa Lema anataka kuanza na uzima wa milele ndio afate kifo kitu ambacho hakiwezekani kwa dunia ya leo

Bt huwezi kumfananisha Nelson Mandela na kiongozi yeyote wa Africa hata Nyerere kwa
Nelson Mandela ni mwanafunzi tu
Wewe ni sawa na kaburu maana hata makaburu hawakujua nelson Mandela anapigania nini
Naamini huko aliko gerezani atakuwa anasikia juu ya habari za ukame na njaa na atakuwa anaiombea hii hali isiwe mbaya kupitiliza, nasi tumuombee awe imara katika kipindi hiki kilichojaa mateso na majaribu makubwa sana!
 
Mbona we mwenyewe uko na wife wako uraiani na watu wanapiga tu mama? Au tukitajie alama zake we mzee wa bao moja kwa wiki? Tena watu wanapiga mpaka tundu mashuhuri. Acha ugomvi wa mawe wakati unaishi ...
Kamanda umechanganyikiwa
 
Teh teh eti Mandela! Yaani hapo ndo ameshapotezwa, akitoka huko atakuwa mpole tu, na ubunge 2020 hapati tena!
Kwa Arusha ccm msahau kabisa na muwekeni mgombea mnaye mu amini na cdm iweke koti bado koti litaibuka mshindi
 
Ni kweli lkn jela uende kwa kutafuta pesa hata familia yako itakuona shujaa sio uende jela kiboya km lema hata watoto wake watashindwa kuhadithia wakikua wataona aibu tu.
Aibu utaiona wewe unayekesha kuwasifia lumumba wakati kwako mnaishi kwa msaada wa mpemba
 
Ni U.pumbavu wa kiwango cha lami kumfananisha Lema na MANDELA.Kama unabisha anza na boda zote za nchi zilizoizunguka Tanzania,kama Malawi,Zambia,D.R.Congo,Kenya,Rwanda,Burundi.. Waulize kama wanamjua Godbless Lema,utashangaa majibu utakayopata.Kwasasa hata Diamond Platnumz kwa Africa ni maarufu anajulikana mara 1000 ya huyo Lema wenu ingawa sio mwanasiasa.
 
Back
Top Bottom