Godbless Lema kaza moyo, wewe ni Mandela wa Tanzania

Ni aibu kumfananisha Nelson Mandela na Lema , Nelson Mandela alikuwa anapigania usawa wa watu weusi dhidi ya watu weupe niambie Lema anapigania nini?

Tofautisha Mwanasiasa, Mwanaharakati, Mpigania haki na Nabii

Nelson Mandela alikuwa mpigania Haki hakuwa mwanasiasa wala mwanaharakati

Nelson Mandela amefanya siasa baada ya haki kupatikana na kwa vile hakuwa mwanasisa alitawala kipindi kimoja tu 10 May 1994 – 14 June 1999 japo angetaka angetawala hata zaidi ya miaka 10

Lema ni mwanasisa lakini anataka kufanya Harakati jambo ambalo aliwezekani watu wanaanzaga Harakati ndio wanakuja siasa sasa lema anataka kuanza siasa then harakati ni sawa na kinavyoanza kifo ndio kinakuja uzima wa milele sasa Lema anataka kuanza na uzima wa milele ndio afate kifo kitu ambacho hakiwezekani kwa dunia ya leo

Bt huwezi kumfananisha Nelson Mandela na kiongozi yeyote wa Africa hata Nyerere kwa
Nelson Mandela ni mwanafunzi tu
Apo wasipo elewa tena tuta2mia bakora maana kila siku lema Mandela wanatuchosha map.......
 
Elewa haki ya msingi inapokiukwa hakuna tofauti na alilosimamia Marehemu Nelson Madiba Mandela hata Majaji wa Mahakama ya Rufaa kulaani wewe unabeza una ufahamu au ni ushabiki.
 
Hatuna mbwembwe saaaaana; ila nyie mnaangaika inawezekana ndo chandema inataka kukata roho!
71963cd3b66fffbf44eee4058e9db85f.jpg
 
Back
Top Bottom