Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Mwenyekiti na katibu wa cdm mkoa wako humu ndani ya jf, wajitokeze wajibu tuhuma hizi.Kama kungekuwa na mgogoro mwenyekiti na katibu wangetuambia.Acha uchochezi.Jina lako linadhihirisha ulichoandika kuwa ni porojo
 

Kama kuna hoja kama hizo kwanini zisijibiwe ? Nimeona tatizo kibwa ndani ya chadema hamkubali hata siku moja kuelezwa mapungufu,je hicho chama kimekuwa cha malaika watupu ? Ebu mara nyingine mkipata vitu kama hivyo chunguzeni kuna vitu ambavyo kamwe uwezi kuvificha ukienda arusha pale mfano utaonyeshwa kwamba haya ndiyo matunda ya mhe godii kupitia m4c
 
Sijaelewe mantiki hapa,zaidi ya kuibua migogoro isiyokuwa na maana kwa maslahi ya CHADEMA na taifa la baadaye
 
Lema ana wajibu wa kujibu hizi tuhuma ni nzito na zinamchafua kupindukia

baada ya kushindwa kukiunda chama chenu cha PM7 ndani ya chadema sasa mnakuja na ngonjera za kipumbavu afu mnataka mbunge aje kuzijibu!
nina hamu ya kuwatukana nyie masalia ingekuwa siyo ban............ Lema hana muda wa kujibu hoja za kishenzi, ana kazi nyingi za kuwatumikia wananchi na chama pelekeni upuuzi wenu na nyaraka zenu feki huko!
sijawahi kuwasikia viongozi kama hawa Arusha.
 
chadema kwanini haipendi kukosolewa??
Hii inaleta ukakasi etii,,

Ikosoeni chadema katika misingi ya kweli na haki sii kwa mambo ya kizushi na ya kibabaishaji kama haya.. Hii njia ya propaganda mliyokuja nayo si mpya tafuteni nyingine.
 
Mkuu Ngongo, anatuhuma ya kutoweka na pesa za harambee M4C Dar esa salaam.Huyu Lema anatabia ya udokozi.
 

we sijui mshamba wa wapi? Hujui hata kutengeneza tuguma za uongo, kawatafute Nape na Mwigulu wakusaidie. Hizo barua zimetoka ofisi gani iliyoajiri hao washamba. Mtajihangaisha sana masalia!
 
Mama porojo kama jina lako kaoshe mzigo waukanyage wenyewe wakija. kama hawapo mpe mbwa wa jirani ashambulie bure.
 
Acha kutetea ujinga wewe kiongozi wako anatabia ya ukwapu kwapu.Hata Zombe alishawahi kuzungumza watu wakampuuza.
 


Ha ha haaaaaaaaa! Ha ha haaaaaaa! Yericko bana! mbavu zangu. Kwi kwi kwi kwiwwwwwwwwwwww! watu peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz..............
 
haya ni malalamiko je taarifa ya uchunguzi wa tume ya chama iko wapi? imwage hapa pia tuone na kupima tuhuma ipi kati ya hizi ilikubalika kuwa ni ya kweli. si kila neno baya linalosemwa juu ya mtu ni la kweli ndiyo maana upande unaolalamikiwa hupewa nafasi ya kujieleza
 
Mkuu hili nilisema sana kipindi kileeeee unajua tena wanazi wa CDM walivyo na mahaba na chama chao viongozi wao hawakosei,hawatakiwi kukosolewa wana sifa za malaika.

Mtu anapitishwa kugombea Ubunge bila kufaynika kura za maoni!!! Kweli wenzetu demokrasia mnaielewa tofauti sana...
 

Mkuu, unafikiri kamati kuu ya chadema inaweza kuunda tume kuchunguza haya? Haya yameshatupwa kapuni. Kuna watu chadema wako above the law.
 
Vipi umeishiwa cha kuandika?
Hahahaha....
Mmeplant Masalia
Mmekuja na porojo za kadi ya Slaa
Mmeplant wakorofi Karatu
Mmekuja na stori za Urais Miaka 18
Saivi mnakuja na ufisadi wa Lema.
Vyote vinatokea nyakati hizo hizo!
What a coincidnce??!!
 
Acha kutetea ujinga wewe kiongozi wako anatabia ya ukwapu kwapu.Hata Zombe alishawahi kuzungumza watu wakampuuza.

Mjini sasa ishakuwa ni style mpya sasa watu kutafuta mabwana eti eeh,vipi nawewe ushakwapuliwa na lema??
matusi yako si sumuuu,
 
Mkuu Ngongo, anatuhuma ya kutoweka na pesa za harambee M4C Dar esa salaam.Huyu Lema anatabia ya udokozi.

harambee za chadema ndo mwajua kuifutilia? Kinachowauma nn km sio unafiki na ushambenga rasilimali za nchi zinavuja kila kona hamsemi, kuchafua LEMA mfefulia labda mgeukie SHIBUDA atachafuka kirahisi. Masalia kajipangani na unafki mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…