J.K.Rayhope
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 316
- 31
sio kila jambo ni FITINA,chukueni hatua,fanyeni uchunguzi,kama si kweli walioandika haya wachukuliwe hatua na ikidhibitika ni kweli kanuni,taratibu na Sheria zenu zifanye kazi ni kwa mstakabari wa chama chenu na si vinginevyo.
maana kila jambo ukiliona linakugusa na ukaliacha eti kwa sababu halikupendezi litaharibu mwelekeo baadae.
Mods, ziweke wazi hiyo document naona naandamwa mimi au mwanaJf yeyote aziweke wazi kwani zina ushahidi wa ninachosema dalili hizo ni mbaya kwa chadema Arusha.
Sasa mbona hazina sahihi na zimeandikwa kwa komputer? kwa nini kila jina lisiandikwe kwa mkono?
Sasa upoteze muda kuchunguza upuuzi, malalamiko haya yalikuwa kabla ya kesi lema kuamriwa je kama Arusha haimtaki tena uliona wana Arusha walivyo jitokeza kumpokea? je hiyo siyo ishara tosha, jeo umefatilia mikutano ya laribuni ya Lema umeona witikio wa watu je kwa wingi wa watu siyo ishara tosha kuwa anakubarika yeye na chama chake ? je ulifatilia mkutano wa CCM ulioongozwa na mawaziri wapatao sita na katibu na katibu mwenezi wake uliona aibu waliovuna Sheikh Amri Abeid.....sio kila jambo ni FITINA,chukueni hatua,fanyeni uchunguzi,kama si kweli walioandika haya wachukuliwe hatua na ikidhibitika ni kweli kanuni,taratibu na Sheria zenu zifanye kazi ni kwa mstakabari wa chama chenu na si vinginevyo.
maana kila jambo ukiliona linakugusa na ukaliacha eti kwa sababu halikupendezi litaharibu mwelekeo baadae.
Kwani zimetoka lini, kama uko Arusha wala huto maliza kusoma huo upuuzi wa magamba..LEMA kapatikana akitaka kutegua hiki kitendawili bora ajitokeze kutoa majibu ya tuhuma hizi kabla hazijasambaa na kuaminika zaidi.
shukraniUnafiki,unafiki,unafiki,unafiki.Umechangia vizuri ila umetumwa.Hatupumbaziki.Endelea na wengine wote ni unafiki tu.
Jamii forum imechacha,hakuna kitu humu zaidi ya mauzauza.
Sasa upoteze muda kuchunguza upuuzi, malalamiko haya yalikuwa kabla ya kesi lema kuamriwa je kama Arusha haimtaki tena uliona wana Arusha walivyo jitokeza kumpokea? je hiyo siyo ishara tosha, jeo umefatilia mikutano ya laribuni ya Lema umeona witikio wa watu je kwa wingi wa watu siyo ishara tosha kuwa anakubarika yeye na chama chake ? je ulifatilia mkutano wa CCM ulioongozwa na mawaziri wapatao sita na katibu na katibu mwenezi wake uliona aibu waliovuna Sheikh Amri Abeid.....
Swala la kiwaja
Trekta
kuna tread humu humu JF ilianzisha yote hayo yaliwekwa wazi jipe muda pitia utapata ukweli...
LEMA kapatikana akitaka kutegua hiki kitendawili bora ajitokeze kutoa majibu ya tuhuma hizi kabla hazijasambaa na kuaminika zaidi.
ukitaka kumjua Lema ni nani, uliza tume ya uchaguzi alishinda kwa tofauti ya kura ngapi kwenye ubunge?Lema ni janga la Taifa.
shukrani
maana unaweza elezwa na majirani kuwa mke/mume wako anahawala pembeni,kwa kuwa unaupendo wa hali ya juu unaweza waita watoa habari ni wanafiki na wapiga majungu,ila siku ukiyaona kwa macho zile sentesi zetu za ningerijuwa huwa zinajitokeza.
JF ni mahala pa kusemea,kutoa maoni na kubadirishana mawazo,hakuna anayelazimishwa kufanya kile anacho ambiwa,ukiona mda changia na usiogope kuitwa mnafiki.
Sasa upoteze muda kuchunguza upuuzi, malalamiko haya yalikuwa kabla ya kesi lema kuamriwa je kama Arusha haimtaki tena uliona wana Arusha walivyo jitokeza kumpokea? je hiyo siyo ishara tosha, jeo umefatilia mikutano ya laribuni ya Lema umeona witikio wa watu je kwa wingi wa watu siyo ishara tosha kuwa anakubarika yeye na chama chake ? je ulifatilia mkutano wa CCM ulioongozwa na mawaziri wapatao sita na katibu na katibu mwenezi wake uliona aibu waliovuna Sheikh Amri Abeid.....
Swala la kiwaja
Trekta
kuna tread humu humu JF ilianzisha yote hayo yaliwekwa wazi jipe muda pitia utapata ukweli...
hayo ni yako na magamba, sisi wana chadema hatutaki kusikia chochote kuhusu Lema subiri2015 ipite kwa sasa ni jinsi ya kuwatoa ccm tu,madarakani.kama ni pesa wacha wale mbona magamba wamekula nyingi,tusichotaka sisi wanachadema ni kuondoa ccm.utuambii kitu chochotemada haijasema LEMA hapendwi Arusha bali inamtuhumu ana kashfa huku akijificha kwenye kivuli cha umaarufu na kupendwa.
mada haijasema LEMA hapendwi Arusha bali inamtuhumu ana kashfa huku akijificha kwenye kivuli cha umaarufu na kupendwa.
mada haijasema LEMA hapendwi Arusha bali inamtuhumu ana kashfa huku akijificha kwenye kivuli cha umaarufu na kupendwa.
utetezi hafifu