Godbless Lema: Imebidi tumuondoe Zitto Kabwe usiku maana anafuatiliwa na watu tusiowajua

Hakuna anayekufa kama si mpango wa Mungu - endeleeni kujihami kwa nguvu zote - mkitilia shaka mtu au gari lolote pigeni picha na haraka wekeni mitandaoni (fumbo);

Usiende kigoma kwa kutumia gari ikitokea iwe Siri na mtu yeyote asifahamu route yako - badilisha magari kila wakati.
 
Waliokuwa wanatembea na sumu ili wamdhuru ndo wanamficha leo asidhurike.
 
Back
Top Bottom