Godbless Lema: Imebidi tumuondoe Zitto Kabwe usiku maana anafuatiliwa na watu tusiowajua

Zitto nae ni mjinga sana NI WATU WENGI SANA WANA UADUI NA SERIKALI HII hili suala la kusema unafuatiliwa na watu wasiojulikana you put yourself into RISK inawezekana hao hao unaowaona ni WAZURI NA WATETEZI WAKO wanaweza chukua MAISHA YAKO FOR THEIR OWN BENEFIT(UTAKUWA MBUZI WA KAFARA SASA HIVI KWA FAIDA YA HAO WENZAKO WAPATE KISINGIZIO KINGINE KWA MABEBERU).......Serikali ikitaka kukuondoa wewe ni within SECOND wewe ni mtu mdogo sana linapokuja suala la SERIKALI NA MAMLAKA YA RAISI HIVYO ACHA KABSA KUICHAFUA SERIKALI haujawa tishio to that EXTENT MPAKA WAKUONDOE
USIMWAMINI SANA LEMA huu ni ushauri wa bure NAKUPA....
Kwa hiyo unathibitisha kuwa serikali yetu ni ya kiovu inaondoa watu mara moja?au ulitaka kumaanisha nin na huo "ukubwa"wa serikali dhidi ya "udogo"wa Zitto R.K?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naiona mbegu ya chuki kubwa sana miongoni mwetu. Sitaki kuamini kabisa kama watanzania sasa tunachukiana kiasi hiki . Hivi ni nani ameileta hii chuki?

Mbona zamani watanzania walikuwa na tofauti za kisiasa, lakini hawakuchukiana namna hii . Nini kimetokea Tanzania?

Dunia nzima sasa inatushangaa sisi . Kuna rafiki yangu anaishi Kenya juzi alinipigia simu akaniuliza nini kometokea huko Tanzania? ,mbona mnataka kutoana roho?.

Sitaki kuamini kama sisi ni Watanzania walewale wa siku zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Been asking myself kuna kitu konamea cha hatar sana tena toka mdomo wa Musiba ufunguke funguke hali omekuwa mbaya sana kuna watu wanataman damu imwgike kujikomboa na wengine wanataman dam imwagike kuwakomesha watu !huu ni mlinganyo mbaya sana ukifika kwenye equilibrium patalipuka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ww tu ndio mjinga wa kwanza kwa kuhamahama kwako. kama alifukuzwa na kutakiwa asipewe hata haki zake na makinda na mahakama zikamnusuru leo anekuwa coverup na lema na genge lake.kudadadeki
Umeelewa kakuambia nini? Unajibu kama una harisha? Uwe unafikiri kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana yule anapenda sana kunywa damu za watu.Dunia imeshukia, tena kama mwewe, kabla hajaleta madhara zaidi.
 
Jiwe acha kuchukua ushauri kwa Mmakonde yuko 80's ..msikilize Mkwere..utaenda ICC peke yako...Koudou Laurent Gbagbo hakuuwa halaiki ya watu..endelea kucheza
 
Duuh aliyewafundisha chadema siasa za hivi mungu anamuona!hakuna kiongozi yeyote ndani ya chadema mwenyewe Safi zaidi kutukana na kufitinisha!tangu nimeanza kufuatilia siasa za chadema Hadi Sasa cjawaelewa !leo Fulani NI mbaya mara NI mwizi Mara MLA rushwa kesho yake NI mzuri Tena ananukia tuelewe lipi lema mnasimamia wapi sisi wananchi wakawaida hatuwaelewi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amesema juzi Jumatano Februari 6, 2019 walilazimika kumuondoa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe baada ya kufuatiliwa na watu ambao hakuwataja.

Akizungumza wakati akichangia taarifa ya kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria leo Ijumaa Februari 8, 2019, Lema amesema kama CCM wakitawala kwa haki, kwa kufuata sheria na Katiba hana tatizo hata wakitawala milele.

“Lengo letu ni kuwaona mnatutawala kwa haki na ndio maana ya upinzani lakini leo hii chuki inajengwa leo kiongozi mmoja M-NEC anasema Lissu (mbunge wa Singida Mashariki) akitua ashambuliwe,” amesema Lema.

“Leo mwenyekiti (Mussa Azzan Zungu), Zitto hayuko bungeni tumemuondoa juzi alikuwa anafuatiwa usiku kwa kazi za kibunge sio za kuuza madawa ya kulevya si za kubaka watoto ni kazi za kibunge.”

Akizungumza na Mwananchi alipoulizwa kuhusu kauli hiyo ya Lema, Zitto amesema, “Tukio ni la kweli lakini mimi siwaogopi wafanye watakalo. Wabunge wenzangu Silinde (David-Momba) na Upendo Peneza (Viti Maalum Chadema) waliowatambua watu hao waliniondoa pamoja na Antony Komu (Moshi Vijijini) na kupelekwa mahala salama.”

Huku akizungumzia matukio yaliyowahi kumkuta ikiwa ni pamoja na kutaka kutekwa Lema amesema, “Leo hii kuna watu wanaozea mahabusu kwa kesi za utakatishaji fedha. Kenya kila kesi ina dhamana kasoro uhaini, Uganda hata uhaini una dhamana ni haki. Dhamana ni haki kuu katika katiba.”

Amewataka mawaziri na makatibu wakuu kujiandaa kwenda jela ama kubadilisha sheria ambazo zina upungufu.

“Mtafanya mtakachoweza kufanya, tunaweza tusirudi bungeni tena, mkasema tutamuweka mtu wetu atalinda utawala uliopita. Utawala uliopita haulindwi,” amesema Lema.

Hilo tukio ni somo kwenu wapinzani. Mshikamane na msaidiane ktk mazingira magumu kama hayo. Hatua mlizochukua ni safi sana za kumhifadhi Mh Zito. Keep it up. Mara nyengine kama kuna vielelezo vya picha ni muhimu mkachukua picha.
 
kuna kipindi huwa naichukia siasa maana haileweki kabisa maana kila siku mieleka tu
Basi uwezi kua kiongozi, mana democracy inahitaji Tolerance.
Ukiwa mwanasiasa afu ukawa mtu wa visasi wewe ufai.
Mkipisha kwa jambo moja si kwamba msiungane kwa jambo lingine no.
Sasa kama walipisha kwa mambo ya chama chao ndo ipelekee kutoungana kwa mambo ya kitaifa? Sasa watakua wanamtumikia nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ww tu ndio mjinga wa kwanza kwa kuhamahama kwako. kama alifukuzwa na kutakiwa asipewe hata haki zake na makinda na mahakama zikamnusuru leo anekuwa coverup na lema na genge lake.kudadadeki
Sasa hivi wana common enemy, kama unashangaa Zitto la lowasa utasemaje?
 
Taifa likae lijiulize nini KIINI cha TATIZO?

MBONA HAYA HAYAKUWEPO?

JE KWA HALI TUMEKIDHI VIGEZO VYA KUOMBA UKIMBIZI AU LA!
 
Juzi Balazi Masilingi kupitia VOA amesema kuna 100% freedom of Speech in Tanzania.
 
Back
Top Bottom