Godbless Lema hamia Dar es Saalam kwa muda

Godbless Lema hamia Dar es Saalam kwa muda

kila mwenye akili timamu anafahamu, Lema toka Achaguliwe mwaka 2010 hajawahi kufanya kitu chochote cha maaana Hapa Arusha.

kwani wabunge wanakusanya kodi. Mbunge ni kuomba serikali ilete miradi na kuangalia miradi isiporwe. Unauliza kafanyanini kwa miaka mitatu hii tena ni miwili kazini moja walimvua.
Uliza ccm imefanya nini Arusha kwa miaka 50?
 
kila mwenye akili timamu anafahamu, Lema toka Achaguliwe mwaka 2010 hajawahi kufanya kitu chochote cha maaana Hapa Arusha.

juzi niliona jimbo la Abood morogoro wanafunzi wanakaa chini! duh miaka yote toka dunia imeumbwa ccm ndio wanaongoza hapo
 
siasa za dar ni za kistaarabu, lema amezoea vurugu kama mtaji wake kisiasa, huku watu hawahitaji laana za kuandamana
 
Unajua Namwona mwanasiasa huyu ni Chachu ya mabadiliko.

Kwa Arusha umeshafanikiwa kuinyoa CCM kwa zaidi ya 70%. Kwasababu nakubali sana Hotuba zako kwenye mikutano na mbinu za kueneza Chama kama cd na hotuba Zilizojaa hamasa ambazo zinauwezo wa kumbadili mnyonge kuwa mtu Jasili Sana na Anayejiamini nakushauri Sasa harakati Hizo Ziamishie Jiji la Dar es Salamu kwa siku kama 100 mfululizo. Muhakikishe chadema inaota mizizi huko. Ungana na wanasiasa vijana wanaopendwa Kama Mr II, Halima, Joseph Haure, Na wengine Wakongwe Kama Profesa safari na matangazo yenu yadokeze mada zitakazozungumziwa

Zingatia vitu viwili.


1. Lazma kuwe na elimu ya uraia ambayo raia wengi hawana wananchi wajue nchi ni yao na viongozi wako pale kutekeleza wananchi wanachotaka.
2. Vipato vya taifa, wizi ndani ya taifa, uwekezaji asa kwenye madini usio na tija, Manunuzi na bei za vitu kwa serikali. Mikataba kama ya tanesco inavyowatesa wananchi.

Naamini kitu kimoja Dar Ikibadilika niRAHISI TANZANIA YOTE KUIGA NA KUBADILIKA HATA KWA MKUMBO. Dar hupokea na kutoa zaidi ya watu laki 3 kwa siku

*please kama inawezekana uzi huu urudishwe kwenye jukwaa la siasa upate wachangiaji wanasiasa*

Hawa mashoga tulio nao wanatutosha usishawishi wengene kuhamia DAR
 
Ujinga wake huku Arusha watu wameshauchoka!

Hata mimi nimeona wameanza kuuchoka ujinga wake mpaka kwenye zile 4 bila, na hata Sombetini najua wana Arusha watamuonyesha kuwa ujinga wake wameuchoka! Vipi Pinda alishajibu ule ujinga wa Lema?! Jamaa kweli ni mjinga sana pale Arusha hizi CCM wakifanya mkutano unakuwa kama mkutano wa familia?!

Lema iinabidi aache ujinga ili CCM angalau wapumue Arusha?! Unasemaje mzee unayepokea kila aina ya uchafu pale MSALANI ?!
 
Last edited by a moderator:
Ujinga wake huku Arusha watu wameshauchoka!
mbona mlishindwa uchaguzi kata zote.Watu wa ariusha ni tofauti na wengine wanapenda siasa za namna ambazo lema anaziendasha na hawapendi uungo eti mbunge atajenga barabara ili hali wanajua kabisa kuwa mbunge hana hela wala hakusanyi kodi ila yeye jukumu lake ni kufikisha na kuwakilisha wananchi.
 
Hawa watu hawataleta maendelea.
Zaidi fujo tu.
 
mbona mlishindwa uchaguzi kata zote.Watu wa ariusha ni tofauti na wengine wanapenda siasa za namna ambazo lema anaziendasha na hawapendi uungo eti mbunge atajenga barabara ili hali wanajua kabisa kuwa mbunge hana hela wala hakusanyi kodi ila yeye jukumu lake ni kufikisha na kuwakilisha wananchi.

Mbona LEMA anajinadi kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa yeye, ndiye aliyejenga barabara Arusha?
 
yan tuache shughuli za maendeleo tufwate siasa
 
Mbona LEMA anajinadi kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa yeye, ndiye aliyejenga barabara Arusha?
mkuu barabara zinazojengwa Arusha ,DODOMA,na mbeya ziko chini ya MPAngo wa strategic city development Program na kama sikosei zinafadhiliwa na Benki ya dunia.Kimsingi naomba uelewe njoo hapa Arusha hadi mzee anaipenda chadema na Lema hii inatokana na Lema kuwa Mkweli na Kuzungumza ukweli ambao wananchi wa Arusha ndio wanaoamini na kusimamia.Kama huamini soma hii makala kutoka katika DAILY News.allAfrica.com: Tanzania: Godbless Lema - the Return of Hope and Anarchy
 
Dar es Salaam sijui wamelaaniwa? Wako busy na vitu vingine. Alafu ndo jiji linaloongoza kwa uchafu, foleni, mgawo wa umeme, shida ya maji, Elimu duni (kasoro shule za private) na mengineyo. Lakini watu kama wamefumbwa macho

DSM inamjumuisho wa watu wa aina tofauti,huwezi kuwadanganya kwa lolote lile.DSM watu wanapambana na maisha,siasa za kulipuana na kutekana hawataki na ndio maana utawaona machaguo yao yanaendana na watu wanaowaona wanaweza kusababisha jiji kuwa salama masaa 24
 
Ujinga wake huku Arusha watu wameshauchoka!

Yan ww ukisikia lema, hata unakata gogo utaacha ili uchangie, lema anakutekenya sana na bado utamzoea taratibu, mgonjwa wa kicha hawezi kupona kwa haraka mbali na dawa anatakiwa apewe ushauri wa nasaha, lema ni kidume ambacho maccm wakisikia wanapata kichefuchefu kama mwanamke mjamzito anayetaka kujifungua,,
 
Nakubaliana na hoja yako mkuu, ila niseme tu kuwa kama watu hawajataka kubadilika wala kusikiliza hawataweza kamwe kumsikiliza. Dar wapo viongozi wa CDM tena ngazi ya kitaifa ila bado bado watu wako disinterested kabisa. They think that they are so much occupied that they can't listen to anybody. Ndo wanaoangusha harakati zakuikomboa Tanzania kabisa. "Wanao Musa na Manabii, wasipowasikiliza hao, hata akitoka huku hawawezi kumsikiliza" (Lk 16:31)
 
Wana darisalama si watu wa viroba...mpuuzi huyu hakika hatofanikiwa darisalama na pwani kwa ujumla!why?tumestaarabika na tumesoma..hatupendi vurugu za kijuha....asambaze ujinga wake huko huko kwa bedui wenzake.
 
We kweli kiazi arusha miaka 50 iliyopita ilikuwa hivyo??
 
Back
Top Bottom