Godbless Lema hamia Dar es Saalam kwa muda

Godbless Lema hamia Dar es Saalam kwa muda

Nani anastahili pongezi za mafanikio ya CHADEMA mkoani Arusha? Samson Mwigamba ambaye alikuwa mwenyekiti wa CHMA wa mkoa aliyetengeneza mikakati ya ushindi wa CHAMA? Mwigamba ndiye aliyemuibua Godbless Lema na kumfanya mgombea kwa ticket ya Chama, na kumsadia kimkakati nyuma ya pazia. Mwigamba amekuwa na Chama muda mrefu zaidi na anawafahamu wanachama wengi zaidi na wanachama wanamfahamu Mwigamba vizuri kuliko Lema?? Nadhani Mwigamba anastahili pongezi kwa kuifikisha CHADEMA hapa ilipo.

Shetani alikuwa malaika kiongozi wa malaika wote. Aliaminiwa na Mungu, lakini akaota kiburi na kutaka kumpindua Mungu. Matokeo yake pamoja na sifa njema zote alitupwa nje ya mfumo wa kiungu na amebaki akirandaranda kuwapotosha wanadamu wamuasi Mungu. Mwigamba ni mfano huu!!!!!!!!!!!!
 
Lema shoga tu! Unamtaka kwa staili hiyo wewe uliyetoa post? Wewe mfate tu atakugawia tigo c mpaka aje dar kuhamasisha watu wenye uelewa tofauti na baadhi ya wavuta bangi na wanywa viroba wanaomuunga mkono katika wizi na uporaji wa mali za watu wakat wa maandamano. Arusha kafungiwa viwanj vyote anavyokusanya hao matahira wake.
 
kila mwenye akili timamu anafahamu, Lema toka Achaguliwe mwaka 2010 hajawahi kufanya kitu chochote cha maaana Hapa Arusha.
 
lema Kasababisha mkoa wa Arusha ushuke kimapato toka kuwa wa pili au wa tatu mpaka 7 .
...sasa anataka kushusha pato la Dar es salaam
...aende akatafute nchi ya wahuni wakinukishe atuache tuendrlee kula vichwa vya kuku na miguu kama alivyo tutafiti na kujihakikishia,.
 
Last edited by a moderator:
Jahazi asilia chama imara kwa ukombozi wa mtanzania
 
huyu jamaa lema apelekwe kitengo cha propaganda makao makuu ya chadema ili atembee na chopper NCHI nzima haswa kwa waswahili waliologwa na ccm wa Pwani lindi Tanga na Mtwara, KAZI YAO MAJUNGU NA USHABIKI WA YANGA NA SIMBA YAANI VILAZA WA KUTUPWA, TENA HUKU VIJANA WAO WAKITEKETEA KWA MADAWA YA KULEVYA YANAYOSAMBAZWA WA VIONGOZI WA CCM
 
Dar es Salaam sijui wamelaaniwa? Wako busy na vitu vingine. Alafu ndo jiji linaloongoza kwa uchafu, foleni, mgawo wa umeme, shida ya maji, Elimu duni (kasoro shule za private) na mengineyo. Lakini watu kama wamefumbwa macho
Wame laaniwa wapi dogp, wengi wao mapunda kazi kubeba unga xaxa wakikifitini chama, wakiingia upinzani watapata wapi wakuwa bebesha unga
 
Machalii wao ni Viroba tu hawana hata hoja wanampenda Lema kutokana alikuwa muuni mwenzao magari ya watalii yakimuona yanazima yenyewe
 
Tatizo watu wa Dar wengi wanajifanya busy halafu vilevile hawapendi vurugu
Na vurugu ni moja ya sera ya CHADEMA ambayo Dar haitoweza kutekelezeka
images.jpg
 
Lema shoga tu! Unamtaka kwa staili hiyo wewe uliyetoa post? Wewe mfate tu atakugawia tigo c mpaka aje dar kuhamasisha watu wenye uelewa tofauti na baadhi ya wavuta bangi na wanywa viroba wanaomuunga mkono katika wizi na uporaji wa mali za watu wakat wa maandamano. Arusha kafungiwa viwanj vyote anavyokusanya hao matahira wake.

Hakuna umaslkini ulio mbaya zaidi kama umaskin wa akili.
 
Lema kafanya nini Arusha?
Au kuweza kufanya mobilization ya wasio na uwezo wa kufanya reasoning ni mafanikio?
Dar hilo atashindwa,vichwa vingi vinahitaji manual operations,sio vya remote kama Arusha
Arusha ukiwa Kenya unaweza kuwapigia simu na kuwaeleza waandamane bila sababu na wakaandamana,wanaendeshwa na hisia zaidi ya akili kumkichwa!

Dar,ccm ikifanya mikutano yake inapeleka magari kwenye mashina yake.inagawa tshit,kofia na kanga.ukirudi kwako matatizo yako, yako pale pale.kweli dar tumestaarabika
 
Kinacho nikere watu wa Dar ni kuwa wana akili sana na werevu wa mambo so mambo ya ki msukule wanayashtukia mapema sana,, ndo tatizo lao,, yaani kuwageuza misukule hawa jamaa kaaaaaazi kweli kweli

Tatizo watu wa Dar wengi wanajifanya busy halafu vilevile hawapendi vurugu
 
huyu jamaa lema apelekwe kitengo cha propaganda makao makuu ya chadema ili atembee na chopper NCHI nzima haswa kwa waswahili waliologwa na ccm wa Pwani lindi Tanga na Mtwara, KAZI YAO MAJUNGU NA USHABIKI WA YANGA NA SIMBA YAANI VILAZA WA KUTUPWA, TENA HUKU VIJANA WAO WAKITEKETEA KWA MADAWA YA KULEVYA YANAYOSAMBAZWA WA VIONGOZI WA CCM

Hakika mkuu, mleteni huku huyo shoga tumle kabaang, maana nasikia kajipiga picha akiliwa samvu la kopo!!
 
Back
Top Bottom