Godbless Lema hakawishi....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Godbless Lema hakawishi....!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Jul 21, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Naona kampa za uso Mbunge mmoja wa Magamba(viti maalum Tanga) hapohapo. Kaomba taarifa na kampa za uso kwa kumwambia ukweli kwamba hamna muafaka wowote uliofikiwa huko Arusha na kama yeye anaota hivyo basi asubirie hivyohivyo na isitoshe yy(huyo mama) anahusika moja kwa moja na mauaji ya Arusha na cha kushangaza yy ni mbunge wa Tanga imekuaje aje Arusha kunifanyia fujo...Message delivered!!

  UPDATE:

  Naona Magamba(viti maalum) huyu mama anatetea vikali ubunge wa viti maalum na wanawake, na yupo kimipasho zaidi na anatetewa na Mwenyekiti ,Loh

  UPDATE:

  Yule mama magambaz kasimama tena (taarifa) kasema kama yeye amehusika na mauaji ya Arusha inakuaje mpaka leo anadunda hajachukuliwa hatua na mahakama, so anapinga kwamba yeye hajahusika na mauaji na mwenyekiti atatoa mwongozo baada ya bunge saa 7mchana(1pm). Stay tuned!!
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu hapa unataka tuchangie au umetupa taarifa tu sisi ? Maana naona umeileta kama mada now what do we need to do ? Tuchangie au tusome na kuacha ni taarifa ? Nishauri hasa mimi .
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimemsoma huyo mama mjengoni muda si mrefu kuhusiana na taarifa yake akidai anawapongeza wanaMagamba kwa kukubaliana na wanaChadema kwa kufikia muafaka! Jamani sijui kama kuna ukweli hapa!
   
 4. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwani wewe umepata taarifa au?...mimi naona poa tu kwani hata taarifa inatosha tukijadili sana inakua umbea...
   
 5. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  huyu na mbowe kwa kweli wataiua CHADEMA vyama vya siasa vinatakiwa kuwa a bit moderate
   
 6. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  We chukua hivyohivyo, then changanya na za kwako.
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Yeye ndiye kaijenga akiiua tatizo lako nini nakushauri mmalize kiporo cha RA na Jairo kwanza then muone ni jinsi gani mtakabiliana na ujio wa Lowassa kuliko kukimbilia ya CDM.
   
 8. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimemsikia akichangia hoja Bungeni, Alianza kwa kuwashukuru wanawake wa Tanga kumwezesha kufika Bungeni, kisha nikasikia minong'ono mjengoni, halafu eti anawasifia na kuwapongeza madiwani wa Chadema kwa utovu wa nidhamu walioufanya Arusha, Kisha akakurupuka na kumkandia Waziri kivuri wa Chadema kuhusu hoja aliyowasilisha bungeni kaongea tofauti na njisi ambavyo mapendekezo ya upinzani yalivyokuwa!!! ni aibu kwelikweli sijui kama kweli wanawake wenzake huko mjengoni watamuonaje!. Jambo la kujiuliza amewashukuru wanawake wa Tanga lakini eti haki zake za ubunge ziko Arusha, ni kichekesho kweli.
   
 9. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tehetehee..mwenyekiti kalimaliza kishkaji eti jambo lenyewe lipo mahakamani ila ujumbe kaupata huyu chakula ya makamba senior..
   
 10. T

  Triple DDD Senior Member

  #10
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Viti maalum wengi CCm ni chakula cha viongozi, hawawezi kuongea lolote la maana kama speech ya Kilango au Shelukindo.
  Wao ni kugonga meza tu na thes are material of no commercial value.

  Hakuna viti maalum CCm aliyeweza kuigomea GVT au kutoa hisia. ni unafiki tu.
   
 11. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160

  Aiseee
   
 12. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Lema hapo itamtokea puani kwani atatakiwa kulithibitisha hilo ili kurahisisha upelelezi wa mauaji hayo.

  Je Lema atapita hapo.

  Yangu macho. nasubiri
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Lema hana la kuthibitisha, tatizo viongozi wote wa ccm wanafikiria kwa kutumia uti wa mgongo badala ya ubongo. Lema hakusema chitanda aliua, bali kasema chitanda ni chanzo cha mauaji ya Arusha. Then mama ana kurupuka utadhani mharo, eti angeua kwanini hajashtakiwa. Kimsingi huyu Malaya chitanda ni mbunge wa Tanga, inashangaza anakuja kutuvuruga sie watu wa Arusha. Ni bora kapashwa pumbavu yake!
   
 14. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  chama cha magamba kilikufa siku nyingi. Usipime chadema iko juu
   
 15. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Utasubiri sana ujumbe ulishafika Mary Kitanda kaumbuka. Kamuulize Pinda juu ya Ripoti ya Lema halafu uchangie wewe kweli ni barubaru.
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Jul 21, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ya waziri mkuu mbona amepita??? Kuhusu kuthibitisha ni kauli za kutupumbaza wananchi, mbona hawatangazi tena........wapi uthibitisho wa Zitto na Lema??
   
 17. h

  high IQ Member

  #17
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Just passing by
   
 18. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  hela walizohongwa wale madiwani zimeisha sasa wanagoma kuachia udiwani,..waende wakagombee huko kupitia ccm
   
 19. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ni jambo hilo hilo Lema aliwekewa mikingamo na kutakiwa atoe vielelezo hadi leo vimefichwa ofisini kwa spika, sasa huu mwongozo mwingine utasimamia wapi?
   
 20. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hawa mangamba wanamatatizo kabla ya kufuatilia mambo ya msingi wanafuatilia mabo ambayo hayawezi kuokoa chama wala hata kusaidia nchi kuendelea ngoja tuone wanavyo zidi kudhalilika .
   
Loading...