Godbless Lema azidi kuipasua CCM

Godbless Lema azidi kuipasua CCM

@DALLAI LAMA
@LiverpoolFC
Aisee wakubwa,
Kama ni pale December, tutafutane bana, kwanini mjifiche jombaa?
Kesho niko free, embu tukakae kama kamati tujadili mstakabali, L/PoolFC u know what i say!

Filipo nitakuwepo!
 
Sengerema vipi mbona hatujapata kinachoendelea? Au wamekosa kibali cha mkutano?
 
Wakuu mkitaka wasiliana nami kupitia 0688500208.kama cko online then leave sms ntakupigia
 
Habari za uhakika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mh mbunge wa Arusha mjini ndugu Godless Lema zinasema katibu hamasa wa uvccm kata ya mto wa mbu mkoani Arusha na mjumbe wa baraza la utekelezaji uvccm wilaya ya monduli na mwenyekiti wa uvccm tawi la magadini na balozi wa kitongoji cha magadini amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Kama mdau mkubwa sana wa CHADEMA mkoani Arusha napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha sana Chadema kamanda kutoka ccm na kukupongeza sana kamanda mpambanaji jembe la ukweli mh sana Godless Lema kwa harakati zako za ukombozi wa Taifa langu zuri Tanzania.


Kamanda Lema licha ya kufanya uamsho kwa wanachama wa Chadema anazidi kuzisambaratisha ngome za CCM. CCM ni kimya kama wamenyeshewa maji.
 
Kuna madiwani kama watano hivi kutoka Monduli watajiunga chadema, tunasubiri materials kutoka makao makuu zoezi likamilike.

Mkuu jana niliona ukiagiza kadi 2000 zije kutoka headquarter naamini hazitoshi ziwe nyingi zaidi.
 
Halafu katibu wao Mr. Mukama anasema ndiyo chama kinazidi kuimarika, khaaa! yaani huyu, bora Marope ulikuwa unamsikiliza tu angalau upate kichekesho.
 
Pj mmeshaanza ubaguzi wa vikaoe?
Acheni hizo bana
@DALLAI LAMA
@LiverpoolFC
Aisee wakubwa,
Kama ni pale December, tutafutane bana, kwanini mjifiche jombaa?
Kesho niko free, embu tukakae kama kamati tujadili mstakabali, L/PoolFC u know what i say!
 
Mkuu Gwallo heshima kwako,
kweli upo makini.
Kwa taarifa za leo asubuhi zinahitajika si chini ya kadi 25,000.
Kuna flow kubwa ya watu wanaotaka kujiunga na chama.
Mwenyekiti wangu Nanyaro yupo so busy, kila baada ya sekunde tano wageni wanaongezeka.

Gwallo tutafutane gwargwe na mie homboy mwenzako.
Mkuu jana niliona ukiagiza kadi 2000 zije kutoka headquarter naamini hazitoshi ziwe nyingi zaidi.
 
Habari za uhakika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mh mbunge wa Arusha mjini ndugu Godless Lema zinasema katibu hamasa wa uvccm kata ya mto wa mbu mkoani Arusha na mjumbe wa baraza la utekelezaji uvccm wilaya ya monduli na mwenyekiti wa uvccm tawi la magadini na balozi wa kitongoji cha magadini amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Kama mdau mkubwa sana wa CHADEMA mkoani Arusha napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha sana Chadema kamanda kutoka ccm na kukupongeza sana kamanda mpambanaji jembe la ukweli mh sana Godless Lema kwa harakati zako za ukombozi wa Taifa langu zuri Tanzania.

Tafadhali rudia kisom ulivyoandika!!!!
 
Nipo kamanda sema tu kazi zimenibana ndo maana nakuwa adimu kidogo lakini bado harakati nazisongesha kamanda. Bac poa leo jioni nitajitahidi nipite hapo DECEMBER kamanda.
 
Tunahitaji picha za mkutano wa leo Sengerema.
 
Mkuu Gwallo heshima kwako,
kweli upo makini.
Kwa taarifa za leo asubuhi zinahitajika si chini ya kadi 25,000.
Kuna flow kubwa ya watu wanaotaka kujiunga na chama.
Mwenyekiti wangu Nanyaro yupo so busy, kila baada ya sekunde tano wageni wanaongezeka.

Gwallo tutafutane gwargwe na mie homboy mwenzako.

karibu Bw. kombe
 
Obviously not me. I'm very transparent nisingekuficha.
Ukitaka kujua ukweli kuwa mi siyo Kombe mwulize Pj, Chrashwise, Liverpool, Phillipo Jackbuer na wengine. I'm Mungi
obvsly ndo wewe,...vp k/mwenezi
 
Mkuu Gwallo heshima kwako,
kweli upo makini.
Kwa taarifa za leo asubuhi zinahitajika si chini ya kadi 25,000.
Kuna flow kubwa ya watu wanaotaka kujiunga na chama.
Mwenyekiti wangu Nanyaro yupo so busy, kila baada ya sekunde tano wageni wanaongezeka.

Gwallo tutafutane gwargwe na mie homboy mwenzako.

Mkuu nitakutafuta, nimeona LP, PJ na wengine wanakaribisha December, ile mitaa huwa napita nimevaa Helmet maana wale vijana hawacheleweshi.
 
Back
Top Bottom