Kwa wanaokaa Arusha wanaelewa hili , miaka ijayo Arusha inaweza ikawa mkoa wenye kizazi cha ovyo sana wanajiona wajanja ila ukwel ni utahira na kutakua na matukio mengi ya kutisha just imagine watu wanavuta bangi mda wote alafu ndo wazazi wa kesho hili ni janga.Moja ya mikoa nayo iyonaga jau ni huu Arusha, Zaidi ya mara NNE nikienda nakutana na usela mavi
Hili jambo limekuwa kero kubwa Arusha, ni kizazi cha hovyo sana na si mabinti tu. Kuna ushenzi unaitwa Rali wakienda hawarudi salama ni kuzika mara kwa mara kuna jambo la chemka nalo ni kero wakienda kule saa ya kurudi ni hatari wamelewa na kuendesha pikipiki hovyo. Ifike mahali hizo sehemu serikali iweke macho kwa kuwa humo wakikutana ndiyo wanapojifunzia hizo tabia za hovyo na kujidai wajanja, najiuliza kwa tabia hii hata kama kuna sehemu yenye ajira hata kama siyo ya level za juu unaweza kuchukua kijana kama huyu ukamkabidhi ofisi?Eneo lolote likiwa hub ya ujambazi hutengeneza jamii ya watu wababe na wakorofi.
Arusha ilikuwa kitovu cha uhalifu wa kutumia silaha itachukua muda mrefu sana kuondoa hiyo culture.
Kusinzia ni kosa?Ukifika Stendi pale ya mabasi unakutana na vijana wadogo kabisa wanasinzia mchana kweupe kabisa, inasikitisha watu kama wale kuwepo Stendi Penye watu wengi....
Kusinzia ni kosa?Ukifika Stendi pale ya mabasi unakutana na vijana wadogo kabisa wanasinzia mchana kweupe kabisa, inasikitisha watu kama wale kuwepo Stendi Penye watu wengi....
Namaanisha madawa na vitu vya Aina hiyo...Vijana wananesa kabisa na kumwaga Ute.Kusinzia ni kosa?
Arusha kuna machoko wengi kuzidi dsm nenda Sakina tripple A juu hapo uone walivyojaa nenda The hub ndio balaaKww hiyo Arusha kuna mapunga machache? Hilo ndiyo unaona la kujivunia?