che chaunichile
JF-Expert Member
- Jul 4, 2026
- 440
- 740
Kwa hiyo Mh Lema yupo sahihi ,?Arusha napitapita TU lakini maisha Yao kiundani siyajuiUkitaka kujua hembu fanya ziara ofisi za laki laki Kisongo kila Jmapili ujionee ushenzi vijana wanavo fanya mapiki piki. Wanafunga bara bara, wanakula mirungi na bangi, viongozi wamekaa kimya wanaona sifa sijui tutafika wapi. Serikali inaona inatengeneza ila italeta kizazi kibayaa sana
Hapana mkuuUmewahi kuwasikia wadudu
Moja ya mikoa nayo iyonaga jau ni huu Arusha, Zaidi ya mara NNE nikienda nakutana na usela maviArusha kila mtu ni mbabe ustaarabu upo kwa mbali sana yaani ngumi mkononi dakika yeyote na mtu yeyote awe Mwanamke au Mwanaume wanajiamini hao kama wanaweza vita jana kuna tukio limetokea huko Sanawari ya juu kwa Wameru Mwanamke kamchinja koromeo mume wake usiku hadi kufa..
Ni watu hao au ni waduduUmewahi kuwasikia wadudu
Sema yapo maeneo ukiishi ni mazuri sana kuliko maeneo mengi...Moja ya mikoa nayo iyonaga jau ni huu Arusha, Zaidi ya mara NNE nikienda nakutana na usela mavi
Umeandika kistaarabu lakini umeandika ujinga.Kama tatizo ni mitandao ya kijamii, najiuliza kwanini mitandao ya kijamii ionekane kuharibu vijana wa Arusha zaidi kulinganisha na maeneo mengine?
Je, kweli hili tatizo ni kubwa kama linavyozungumzwa kwenye hizi forum?
Kwamba leo mtu yeyote akienda Arusha, basi lazima atakutana na hali isiyo ya kawaida machoni pake, ambayo hajawahi kuiona maeneo mengine hapa Tanzania?
Siwatetei hao vijana wa Arusha Mjini, lakini nijuavyo kila sehemu ina watu wake waliovurugwa.
Kama tatizo ni kuogopa mavazi, nadhani hao watoto wa kike wanaweza kuolewa na wale wanaopenda mavazi hayo, kwani wapo pia wanaovaa madera siku zote na bado hawajaolewa.
Hii dunia haijawahi kueleweka, ukijisumbua kuielewa utachanganyikiwa, mtengeneze kwa kwako nyumbani.
Nilijua mpo nitakaowachanganya nikaamua ibaki hivyo.Umeandika kistaarabu lakini umeandika ujinga.
Kama tatizo ni mitandao ya kijamii, najiuliza kwanini mitandao ya kijamii ionekane kuharibu vijana wa Arusha zaidi kulinganisha na maeneo mengine?
Je, kweli hili tatizo ni kubwa kama linavyozungumzwa kwenye hizi forum?
Kwamba leo mtu yeyote akienda Arusha, basi lazima atakutana na hali isiyo ya kawaida machoni pake, ambayo hajawahi kuiona maeneo mengine hapa Tanzania?
Siwatetei hao vijana wa Arusha Mjini, lakini nijuavyo kila sehemu ina watu wake waliovurugwa.
Kama tatizo ni kuogopa mavazi, nadhani hao watoto wa kike wanaweza kuolewa na wale wanaopenda mavazi hayo, kwani wapo pia wanaovaa madera siku zote na bado hawajaolewa.
Hii dunia haijawahi kueleweka, ukijisumbua kuielewa utachanganyikiwa, mtengeneze kwa kwako nyumbani.
Arusha ilikuwa ni sawa kabisa.Eneo lolote likiwa hub ya ujambazi hutengeneza jamii ya watu wababe na wakorofi.
Arusha ilikuwa kitovu cha uhalifu wa kutumia silaha itachukua muda mrefu sana kuondoa hiyo culture.
Maeneo yote yenye historia ya uhalifu mkubwa hutengeneza culture ya ukorofi na ubabe. Mara, Arusha etcArusha ilikuwa ni sawa kabisa.
Nilifika huko , nikaona mashati ya draft yale na nguo za mtumba kama uniform zao , kuna yale mashati kama ya CHADEMA , yana kaki fulani hivi ya bahasha 😀 😀 kila kona ni hayo tena mtumba .Watu wa Arusha mumepindukia kwa ujuaji yani hamna msichokijua kumbe ni washamba tu from my own experience