Hili mbona kama kosa la dereva? Hiyo eskudo lazima alipe gari jipya huwezi endesha gari kilevi na kusababisha dhahama barabarani. Hawa madereva wa chadema unakuta wanaendesha magari kwa kasi utadhani wamebeba alshabaab.

Pole sana kamanda Lema. Usiogope, Bwana yu pamoja nawe mpaka uyatimize makusudi yake ya kulikomboa kabisa jimbo la Arusha. Tupo pamoja, kiroho na kimkakati pia, bado unahitajika saana. Mapambazuko mbona tayari. Oktoba si mbali saana
Yaani kungekuwa na Watnzania 5M wenye mawazo kama haya ya activist hakika nchi ingesogea. . . . . . Ila siasa imewaroga watu vyama vimewapa upofu mbaya kabisa