watundawangu
JF-Expert Member
- Mar 26, 2011
- 250
- 77
Pole sana Lema pamoja na makamanda wengine majeruhi Allah atawaafu.
siku ya mwisho kila goti litapigwa .Ni wewe kweli, Ritz unayetoa pole hizi kwa Lema? Asante kwa niaba ya Lema, huenda Mungu kaubadilisha moyo wako, kutoka moyo wa jiwe hadi kuwa moyo wa nyama! Karibu sana kamanda Litz!
mungu ni mwema huwalinda watumishi wake,pole kamanda wa ukweli mh Lema
Asante Mungu kumlinda kamanda wetu maana mapambano hayajaisha.
Watu wengine bana ajali inaweza kumtokea yeyote siasa siyo uadui haya ni masuala ya kibinadamu siasa kwako ni uadui?EEEE bwana kumnbe uchugazi umeanza kubadili tabia za wengi. Imeanzia kwa Lukuvi bungen na RITZ na yeye amekuwa na mawazo ya kiutu.
Daaah, Pole zake nyingi sana Kamanda wetu
Hizi ajari mbona zimemuandama sana Kamanda Lema? Nakumbuka hii ni ya pili baada ya ile ya kule Kahama. Bora isiwe ni masuala ya Kisiasa maana hawa wenzetu hawaishi uharamia.!
Ashukuliwe Muumba kwa kimuepusha na balaa hili.
BACK TANGANYIKA
Hapa hatupo kwenye siasa huu ni ubinadamu.Ni wewe kweli, Ritz unayetoa pole hizi kwa Lema? Asante kwa niaba ya Lema, huenda Mungu kaubadilisha moyo wako, kutoka moyo wa jiwe hadi kuwa moyo wa nyama! Karibu sana kamanda Litz!