Watamdhuru vipi Lema wakati muda wote yupo na Wazee 24
Nakudokeza tu, Ile siku na saa wanamdhuru amini kabisa serikali itasimama kwa muda.
Na kama yatamkuta Dar, wewe uende Ubungo within three to four hours za taarifa kutoka ujionee na kujihesabia hizo ZX, XLR, Hardtops etc zitavyoingia mjini.
Na wanajua hilo ndio maana hawathubutu kumgusa Kamanda Lema a.k.a Mandela
Sisi tuna Mungu, wao wana fedha.
Lema kwenye mikutano yake amekuwa akieleza hadi njia ya kufika nyumbani kwa wale wenye nia ya kumdhuru...lakini yuko salama salimini. Mtu atakayekuwa na ndoto za kumuua Lema hajazaliwa bado.
Lema mtu mdogo sana kwenye hii nchi wala haitaji ulinzi wowote hata wa masai..boss wake Mbowe mwenyewe ana bodyguady mmoja yule mwenye kitambi.
usisahau, sisi tuna Mungu wao wana msitu wa mabwe pande na pesa za kukodi ma baunsaHofu ya maisha ya watanzania wenye upinzani wa wazi na watawala ni kubwa mno hasa baada ya Dr ulimboka kufanyiwa kitu cha ajabu. Moja ya watu wanaoipinga serikali waziwazi ni Godbles Lema, je huyu kiumbe analindwaje? Au kuna siku naye tutamsikia ametekwa na baadaye kuokotwa mabwe pande au ni hisia zangu tu?
Hofu ya maisha ya watanzania wenye upinzani wa wazi na watawala ni kubwa mno hasa baada ya Dr ulimboka kufanyiwa kitu cha ajabu. Moja ya watu wanaoipinga serikali waziwazi ni Godbles Lema, je huyu kiumbe analindwaje? Au kuna siku naye tutamsikia ametekwa na baadaye kuokotwa mabwe pande au ni hisia zangu tu?
lema tulikuwa nae jana tu hapa ubungo kasema kuwa kikwete akijaribu kuingilia hukumu yake katika rufaa basi atakufa, maana jaji aliyehukumu kesi yake tayar amekipata, miguu kwisha kazi, amesema kuwa mungu anajibu maombi
Lema mtu mdogo sana kwenye hii nchi wala haitaji ulinzi wowote hata wa masai..boss wake Mbowe mwenyewe ana bodyguady mmoja yule mwenye kitambi.
Lema ni nani kwenye nchi hii hadi awindwe?
Nasikia Jk amesema Ulimboka ni mtu mdogo sana hawezi kumtembelea hosp, kumbe Dr. Uli kakataa Jk asikanyage pale kumwangalia!
lema tulikuwa nae jana tu hapa ubungo kasema kuwa kikwete akijaribu kuingilia hukumu yake katika rufaa basi atakufa, maana jaji aliyehukumu kesi yake tayar amekipata, miguu kwisha kazi, amesema kuwa mungu anajibu maombi
na ulinzi wa usioonekana
Unatamani angekuwa ndo wewe eh??Mimi nashangaa washabiki wa CDM wanapenda sana kukuza vitu sasa Lema ninani mpaka awindwe?ana madhara gani na nchi hii'mwache apige vuvuzela mwisho atakaa chini tu
Watz ni waoga tunaongea sana lkn hakuna actions na viongozi wetu wanajua hilo. Huyu doctor hakua wa kwanza kusulubishwa na hatakua wa mwisho