- Thread starter
- #21
Upuuzi mtupu na kwa taarifa yako alitoa maagizo kwa Wenje wakati akiwa Mwanza.
Ndugu utakuwa hukuwepo kwenye kikao cha Tindigani Arusha waliokuwepo wanaweza kuthibitisha,huenda na Mwanza alimuagiza Wenje mi sifahamu hilo,ila Arusha alimuagiza Lema huenda ndio kauli mbiu yake kila mkoaanotembelea, kama kweli watu ni wasema ukweli na walikuwepo Arusha wakati wa huo mkutano wanaweza kutuambia na kulithibitisha hili tamko.