Godbless Lema akiuka maagizo ya Rais wake

Godbless Lema akiuka maagizo ya Rais wake

CDM hamna wagombea
Urais mmeazima CCCCMM
Makamu Wa rais mmeazima CUF
Wabunge mnasubiri waliokatwa CCM
Sijui mlijiandaa kuongoza serikali
 
Kweli tumezidisha mahaba kwa ukawa, mimi natamani mabadiliko isipokuwa penye ukweli lazima tuseme. Nilihudhuria mkutano huo na ni kweli lowasa alisema anamwamini sana lema ni mchapa kazi na anamtuma Tanesco ikishindikana ampigie simu, kauli hiyo hiyo aliitoa mwanza kwa wenje

Subiri ashike nchi utaona tu kwa sasa tulia kama mbuzi aliye....
 
Back
Top Bottom