Godbless Lema afanya siasa msibani

CCM mnawafanyia wenzenu haya haya kila uchwao. mkifanyiwa nyie mnalialia hovyo na mnaanza kuwamwagia risasi raia wasio na hatia....

kwendeni zenu uko, bila polisi nyie CCM wepesi kama karatasi ya kuchambia!!
Mnalalamika kama majike, mbona enzi la dhaifu Jk mlikuwa mnajifanya ngangari? Komaeni watoto was kiume, huyo ndo Magu a. k a jiwe.
 
Hawa ni UWOGA tu umewaingia WAKULIPOTEZA hili JIMBO...hapa wenzio wapo kwenye KAMPENI TAYARI...wanajua kabsa hawana chao kwenye uchaguzi wa jimbo hili
Nje mada..
Hivi kafulila ni wa jimbo lipi
 
Mnalalamika kama majike, mbona enzi la dhaifu Jk mlikuwa mnajifanya ngangari? Komaeni watoto was kiume, huyo ndo Magu a. k a jiwe.
ajitokeze zipigwe kavu kavu na wenziwe ndiyo tutamwona kweli ni mwanaume.

bila polisi/risasi hamna kitu pale!
 
Sasa naanza kumuelewa Mtu mmoja aliyewahi kusema kwamba huenda hadi kufikia mwaka 2020 kunaweza kusiwe na Chama cha CHADEMA nchini Tanzania au kikawepo na Viongozi wake tu wale Wakuu ila Wanachama wake wengi akili zao zilizotekwa ' Kianaharakati ' zikawakaa sawa na kuamua kurudi rasmi kwa wenye akili na umakini CCM.
tapatalk_1527267431402.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom