Godbless Lema afanya siasa msibani

Hawa ni UWOGA tu umewaingia WAKULIPOTEZA hili JIMBO...hapa wenzio wapo kwenye KAMPENI TAYARI...wanajua kabsa hawana chao kwenye uchaguzi wa jimbo hili
 
Sasa naanza kumuelewa Mtu mmoja aliyewahi kusema kwamba huenda hadi kufikia mwaka 2020 kunaweza kusiwe na Chama cha CHADEMA nchini Tanzania au kikawepo na Viongozi wake tu wale Wakuu ila Wanachama wake wengi akili zao zilizotekwa ' Kianaharakati ' zikawakaa sawa na kuamua kurudi rasmi kwa wenye akili na umakini CCM.
 
Kuna yule mfanya biashara dawa zakulevya masogange kule mbeya

Balaa ilikuwa kijani na njano all the way siasa ni hatari sana.
 
Hii ni hatari
Ni suala dogo tu kisaikolojia...afarikipo muisilamu msikitini tunapata mawaidha,kanisani tunapata mahubiri kwa mkristu(o) sasa taabu ipo wapi kupata vionjo vya kisiasa kwenye msiba wa mwanasiasa ambaye hata kuugua kwake kulichukuliwa kisiasa?
 
Sasa naanza kumuelewa Mtu mmoja aliyewahi kusema kwamba huenda hadi kufikia mwaka 2020 kunaweza kusiwe na Chama cha CHADEMA nchini Tanzania au kikawepo na Viongozi wake tu wale Wakuu ila Wanachama wake wengi akili zao zilizotekwa ' Kianaharakati ' zikawakaa sawa na kuamua kurudi rasmi kwa wenye akili na umakini CCM.
ndugu, naomba unipe tofauti iliyopo kati ya hii ya Lema na ile ya mwenyekiti wenu pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha kwenye hafla nyeti kabisa ya kijeshi akaitumia kupokea wale madiwani kuingia CCM.
 
CCM mnawafanyia wenzenu haya haya kila uchwao. mkifanyiwa nyie mnalialia hovyo na mnaanza kuwamwagia risasi raia wasio na hatia....

kwendeni zenu uko, bila polisi nyie CCM wepesi kama karatasi ya kuchambia!!
 
Sasa naanza kumuelewa Mtu mmoja aliyewahi kusema kwamba huenda hadi kufikia mwaka 2020 kunaweza kusiwe na Chama cha CHADEMA nchini Tanzania au kikawepo na Viongozi wake tu wale Wakuu ila Wanachama wake wengi akili zao zilizotekwa ' Kianaharakati ' zikawakaa sawa na kuamua kurudi rasmi kwa wenye akili na umakini CCM.
Ngoja niiquote hata kama ukija kuifuta itabaki kwenye quote yangu tu.
 
Sasa naanza kumuelewa Mtu mmoja aliyewahi kusema kwamba huenda hadi kufikia mwaka 2020 kunaweza kusiwe na Chama cha CHADEMA nchini Tanzania au kikawepo na Viongozi wake tu wale Wakuu ila Wanachama wake wengi akili zao zilizotekwa ' Kianaharakati ' zikawakaa sawa na kuamua kurudi rasmi kwa wenye akili na umakini CCM.
kweli kabisa
 
Watanzania aliyetuloga amefariki naye,tutasubiri sana,hapa they celebrate the life ya mtanzania mwenzetu aliyejitoa mhanga kuendeleza jimbo lake na watanzania kwa ujumla,nothing wrong kuongea aliyoyafanya marehemu na kumbuka marehemu alikuwa mwanasiasa,jamani watanzania wenzangu tuanze kuwa sehemu ya dunia ya sasa,kumbuka msiba wa Mama Nomzamo Mandela,viongozi wa kisiasa waliongea siasa mno ili kumuenzi marehemu aliyetumia muda wake mwingi kupigania haki za wengi,kumbuka CIC Malema alivyoongea,he is luck angekuwa ni mwanasiasa mtanzania kufikia leo ile Nissan nyeupe ingeshampitia.
 
Tofautisha kuongea siasa na kufanya siasa. Hiki wanachofanya Chadema ni kuwadhalilisha Wafiwa, ni kudhalilisha marehenu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom