Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,108
mbunge wa jiji la arusha godbless lema(chadema) ameachia wimbo unaoitwa msiogope... Unaozungumzia hali halisi ya ukombozi wa taifa hili pamoja na njama chafu zilizo chezwa kwenye uchaguzi wa meya wa jiji la arusha... Track hiyo ameiachia jana kutoka studio za kameta zilizopo kinondoni dar es salaam akimshirikisha msanii bwana kotide pamoja na swahiba wake wa karibu kilewo.... Itaanza kuingia mitaani kuanzia jumamosi na nukuu baadhi ya mistari: Ni heri ya vita inayo dai haki na usawa kuliko amani inayopumbaza na kuduwaza utu wa mwanadamu.....
Kamanda alicho kifanya LEMA ni kitu kikubwa sana kukaa na kuwaza ni jinsi gani ataweza kuelezea hisia zake kwa wananchi wake pamoja na watanzania kwa ujumla then ukisema kuhusu kero LEMA ndiye mbunge pekee mpaka sasa ambaye ameweza kufanya kitu cha maana jimboni kwake kama vile wale watoto mianne watasoma chini ya ARDF... Huyu jamaa ni mbunifu anawapenda watanzaniaLeeema zingatia mgawanyo wa kazi kumbuka mpk sasa hata kuwashukuru wapiga kura bado ghafla umegeuka mwimbaji ! Nooo a big no njoo tukueleze kero bana utajirusha baadaye
Kuwashukuruje? Nahisi ww ni msengerema.Leeema zingatia mgawanyo wa kazi kumbuka mpk sasa hata kuwashukuru wapiga kura bado ghafla umegeuka mwimbaji ! Nooo a big no njoo tukueleze kero bana utajirusha baadaye
FYI Lema ndio Mbunge pekee ambaye ameshafanya makubwa kwa jimbo lake .Leeema zingatia mgawanyo wa kazi kumbuka mpk sasa hata kuwashukuru wapiga kura bado ghafla umegeuka mwimbaji ! Nooo a big no njoo tukueleze kero bana utajirusha baadaye
Mmmhh! Ame rap kwa lafuzi ya kimachame au? Awe makini sana hivyo vitu visije mwaribia kwa wapiga kura wake. Hasiwe kama sugu anaye ng'ang'ania kutetea sanaa ya ubongo wa fleva na kusaa wapiga kura wake.
No haja rap bali alikuwa akitoa speech huku akifuatisha bt... Ukisikiliza kama siyo mwanaharakati lazima utakuwa mwanaharakati wa ukweli kamanda ni kichwa kazungumza mambo ya msingi mle:
Yangu macho na masikioi.Mbunge wa jiji la ARUSHA GOdbless Lema(CHADEMA) ameachia wimbo unaoitwa MSIOGOPE... Unaozungumzia hali halisi ya ukombozi wa taifa hili pamoja na njama chafu zilizo chezwa kwenye uchaguzi wa meya wa jiji la ARUSHA... Track hiyo ameiachia jana kutoka studio za kameta zilizopo kinondoni dar es salaam akimshirikisha msanii bwana kotide pamoja na swahiba wake wa karibu KILEWO.... Itaanza kuingia mitaani kuanzia jumamosi na nukuu baadhi ya mistari: ni heri ya vita inayo dai haki na usawa kuliko amani inayopumbaza na kuduwaza utu wa mwanadamu....
Arusha watoto 400 mwaka wanaenda secondary kwa jeuri ya Lema na mshikamano wa wana Arusha au umesahau mkuu kijana yuko kazini kweliLeeema zingatia mgawanyo wa kazi kumbuka mpk sasa hata kuwashukuru wapiga kura bado ghafla umegeuka mwimbaji ! Nooo a big no njoo tukueleze kero bana utajirusha baadaye