God of war ps 2 game-msaada

Good Guy hapo ni anam decapitate Helios,the god of sun!! It was priceless yani!!! The way he smacked his head on the ground,then he just rip it out of him...and then use it as a Torch and a weapon hahah!!

I like the part ambayo anakutana na baba yake pandora yule iron smith aliyefungwa underworld ambaye anashangaa sana kusikia hades is dead, anamuuliza kratos what's happening maana anasikia underworld empire inatingishika na souls zinapepea hewan, kratos anamjib kikauzu "the God of the underworld is dead" na hizo souls na birds zinaenda olimpus kusambaza taarifa kwamba hades is dead,

Yaelekea hades ndo alikuwa God mbabe kuliko wote maana alivyouwawa olimpus nzima ilidata na contoler inavi brate karibu half an hour kuonesha kwamba this is a great war... Jaman hii game imepangwa si mchezo ni zaidi ya movie
 
afu kuna m2,ameshaona hidden game kwenye GoW II mwanzo kabsa baada ya kupigana na lile giant statue kwa mara ya kwanza likamrusha akadondoka kwenye maji hivi kuna vyumba hapo vimefichwa ukibomoa unakuta wanawake wa2 wako naked unafanya nao sex ukiweza kupress the ryt buttons unajazwa health nd many orbs. Kuna m2 ashagaiona
 
Good Guy,
Hiyo hidden game nishaiona, Kratos anafanya mambo mpaka health inaongezeka, teh teh.
By the way, sa ivi nime-relocate to Arusha, but next week naingia town one time.
But one day yes tutaonana tu.
MKATA KIU,
Dah! maelezo yako hayo yaani yananipa midadi kweli, vibration kama dakika 30 hivi, si mchezo, I am thrilled na namna amabvyo umeelezea, hebu nipe kisehemu kingine nidate.
Ngoja - nitaipata tu siku, na nitaimaliza. Kwa sasa wacha niimezee mate tu.
 
Last edited by a moderator:
Wait until u have sex with Aphrodite herself!! Goddess of Romance!!! Haha I loved the cut scene when he was killing poseidon,hercules,and when he was talking to Hera Zeus's Wife!! He told him..'U aspire to be an olympian yet their reign is ending hercules!!'
 
Cestus, nadhani nimeanza kuumwa upungufu wa ps3 na gow3 akilini. Nimekwisha kabisa hapa. By the way sijui this time soundtracks zinafananaje, maana za 2 ziko real. Kama the way of the gods, Atlas, nk. From Gerard K. Marino na wenzie.
 
Last edited by a moderator:
Wait until u have sex with Aphrodite herself!! Goddess of Romance!!! Haha I loved the cut scene when he was killing poseidon,hercules,and when he was talking to Hera Zeus's Wife!! He told him..'U aspire to be an olympian yet their reign is ending hercules!!'

Kaka umenikumbusha mbali, me too I like the way hera alivyokuwa amelewa analalamika huku anayumba na kiubishi anampiga mkwara kratos, but yule jamaa mwenye machuma mikonon bodguard wa hera anatia ngumi balaa, tatizo la god of war 3 kila mtu mbabe hadi unashindwa kuelewa olimpus ilikuwaje zeus akawa king, also I real like the death of poisedon the god of the sea bahari ilivyoanza kujaa kuonesha imeguswa na kifo cha mungu wake,

Pia three judges of the underword walivyomuweka kratos mtukati na kuanza kujitambulisha huku controler ina vibrate is like a real things, kubalansisha chain of balance inayounganisha world na underworld ilinichukua zaidi ya wiki maana si mchezo, but katika wote anayeleta balaa kufa ni hermes.. Ndo maana wakati anauwawa alimpiga kratos binge la neno " kratos no matter how many gods falls down but their still the one which will kill you," just kill me if your happy but its just the begginging of the great war"

Also cronos the anakufa vibaya sana, ukatili aliouonesha kratos kwenye god of war 3 unatisha sana especially ukiwa kwenye LED HD TV... Kama usiku unaweza usilale
 
Jamani! Tunapeana mzuka,mwenye Call Of Duty naomba anipatie CD na Game zingine zingine,napatikana maeneo ya POSTA Dar es Salaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom